Amri Kiemba, mchambuzi mjinga na mshamba kuwahi kutokea duniani

Piga kichwani bado anapumua huyo
 
Sijui kama mleta mara una macho ya soka kweli. Kwamba Amri Kiemba alikuwa mchezaji wa hovyo? Uongo mtupu huu.

Mimi ni Simba damu, ila nakwambia Amri Kiemba alikuwa bonge la kiungo. Viungo wangu bora kabisa pale Simba niliowaona miaka ya 2005 - 2013 ni hawa wana: Shekhan Rashid, Suleiman Matola, Amri Kiemba, Mohammed Simba Banka, Yahya Akilimali, na Mwinyi Kazimoto. Amri Kiemba alikuwa kitu kingine kabisa.
 
Mimi ni Simba Amri kiemba mchambuzi bora kabisa namkubali sana timu yetu bado kabisa inasua sua hata kocha analijua hilo wewe labda una chuki zako binafsi na Amri.
Binafsi, wakati Kiemba anacheza, nilikuwa napenda sana aina ya uchezaji wake. Na huku kwenye uchambuzi, kwa kweli, huwa haonyeshi kabisa anaegemea upande upi.
Na amekuwa msaada sana kwa wenzie, pindi uhitajipo ufafanuzi wa mtu ambaye alishawahi kuwa site. Kwangu, akikosekana kwenye kipindi, huwa naona kimepwaya sana, na huwa nakuwa sina hamu ya kuendelea kukusikiliza!
 
Chilunda Bado anajifunza!??Duchu!!! ... Bangi za wapi hizo....
 
Chilunda Bado anajifunza!??Duchu!!! ... Bangi za wapi hizo....
una bichwa ama kiazi, unajua tofauti ya kujifunza na kupata dakika nyingi uwanjani? mimi nimesema wachezaji hao watatu wanahitaji dakika nyingi uwanjani na mashindano haya ndiyo mahsusi kwao. Kukosa kwao dakika nyingi za mechi ndiyo inasababisha kiwango kuwa hivyo na kutojiamini.

Vipi umejifunzia mpira uzeeni nini sheikh.
 

Hichi ndio ulichoandika ..."Wana uwezo wa kuimprove Bado wanajifunza".... Ficha ujinga wako.... Suala la kupewa muda na kujifunza ni vitu tofauti...
 
Ww tako kweli na itakua hauufahamu mpira ila unaendeshwa na ushabiki tu.

Kiemba alikua mchezaji mzuri enzi zake labda ungesema mchambuzi wa hovyo
 
View attachment 2860194
Hichi ndio ulichoandika ..."Wana uwezo wa kuimprove Bado wanajifunza".... Ficha ujinga wako.... Suala la kupewa muda na kujifunza ni vitu tofauti...
mzee hujui mpira, kubali yaishe. Kama ni mshabiki wa UTO basi kazi wanayo... haya mtetee na yule mlevi wenu πŸ˜› πŸ˜›
 
Well said πŸ‘
 
Mimi huyu jamaa nilishamuona ni mpuuzi fulani hivi.
Linapokuja suala la Simba hata ifanyeje,lazima atakosoa.
Ni huyu aliwaita Al Ahly timu dhaifu kwa vile imeshindwa kumfunga Simba.
Ni huyu aliyeipa yanga nafasi kubwa ya kuchukua alama zote mbele ya Al Ahly.Na waliposhindwa,alisema Al Ahly ni timu namba moja Afrika na Yanga amepangwa na timu ngumu kuliko za makundi mengine.
Ni huyu aliyeipa yanga alama 6 kutoka kwa Medeama.
Huyu haamini Simba alishinda bali alibahatisha.Haamini JKU wanauwezo pia pamoja na kukamia anajua JKU ni timu dhaifu kwamba ingecheza na yanga,wangefungwa goli zaidi ya 5.
Hana lolote apuuzwe
 
Kiemba is a very pragmatic pundit.
 
Constructive criticism ni muhimu kwa ustawi wa timu
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Achana na AVB, kuna Jose Mourinho amebeba UEFA kadhaa, EPL, Bundesliga, La Liga n.k na hajawahi kuugusa mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…