Amri Kiemba, mchambuzi mjinga na mshamba kuwahi kutokea duniani

Haya sasa umeshasema ya mwenzako yooote kuwa kacheza Yanga kacheza Simba kacheza Kagera sugar na kacheza timu ya Taifa, sasa tuambie wewe umecheza wapi ili tulinganishe weledi wenu, uzoefu wenu na akili zenu inapokuja ishu ya soka

Makolo sijui kwann huwa hampokeagi ushauri.
Piga kichwani bado anapumua huyo
 
Sijui kama mleta mara una macho ya soka kweli. Kwamba Amri Kiemba alikuwa mchezaji wa hovyo? Uongo mtupu huu.

Mimi ni Simba damu, ila nakwambia Amri Kiemba alikuwa bonge la kiungo. Viungo wangu bora kabisa pale Simba niliowaona miaka ya 2005 - 2013 ni hawa wana: Shekhan Rashid, Suleiman Matola, Amri Kiemba, Mohammed Simba Banka, Yahya Akilimali, na Mwinyi Kazimoto. Amri Kiemba alikuwa kitu kingine kabisa.
 
Mimi ni Simba Amri kiemba mchambuzi bora kabisa namkubali sana timu yetu bado kabisa inasua sua hata kocha analijua hilo wewe labda una chuki zako binafsi na Amri.
Binafsi, wakati Kiemba anacheza, nilikuwa napenda sana aina ya uchezaji wake. Na huku kwenye uchambuzi, kwa kweli, huwa haonyeshi kabisa anaegemea upande upi.
Na amekuwa msaada sana kwa wenzie, pindi uhitajipo ufafanuzi wa mtu ambaye alishawahi kuwa site. Kwangu, akikosekana kwenye kipindi, huwa naona kimepwaya sana, na huwa nakuwa sina hamu ya kuendelea kukusikiliza!
 
Mpe vindonge vyake !! Duchu, Chilunda na Mwanuke bado wana uwezo wa ku-improve bado wanajifunza kwa sababu vipaji wanavyo.

Simba imeamua kuwapa nafasi sababu kwenye ligi ni ngumu kupata dakika uwanjani - sasa makosa madogo madogo lazima yawepo.

Sasa kwa taarifa yenu, game na Singida wataanza tena na Singida atakaa ili mnune zaidi.
Chilunda Bado anajifunza!??Duchu!!! ... Bangi za wapi hizo....
 
una bichwa ama kiazi, unajua tofauti ya kujifunza na kupata dakika nyingi uwanjani? mimi nimesema wachezaji hao watatu wanahitaji dakika nyingi uwanjani na mashindano haya ndiyo mahsusi kwao. Kukosa kwao dakika nyingi za mechi ndiyo inasababisha kiwango kuwa hivyo na kutojiamini.

Vipi umejifunzia mpira uzeeni nini sheikh.
 
Screenshot_20240102-170232.jpg

Hichi ndio ulichoandika ..."Wana uwezo wa kuimprove Bado wanajifunza".... Ficha ujinga wako.... Suala la kupewa muda na kujifunza ni vitu tofauti...
 
Amri Kiemba nani asiekujua wewe, nimekusikia ukisema uchezaji wa Duchu, Chilunda na Mwinuke haujakushawishi, we nani hadi ushawishike na kiwango chao, wakati unacheza soka ukiibuliwa na Kanali mstaafu Kipingu ulitegemewa kuwa mchezaji mzuri kumbe wap, ulipokuwa Yanga uliongoza kwa kutoa pasi kwa adui, uchezaji wako ulikuwa slow mno, yaani ulikuwa kiungo usievutia hata kidogo, ukaenda Simba nako ikawa hivo hivo, kila ukishika mpira ukitoa pasi ulikuwa unampa adui, ukachezea Kagera Sugar ulikuwa mwepesi kabisa, wasiokujua ndio wanaweza kuamini usemayo, lkn wengine tunaokujua na tuliokuona ukicheza mpira tunakuona famba tu.

Siku hizi unajifanya kuongea shombo hasa kwa Simba, mapenzi yako kwa Yanga yako dhahiri, mnafiki mkubwa wewe.

Eti uchezaji wa akina Duchu jana haujakushawishi, wewe ushawishike kwa uwezo gani uliokuwa nao dimbani, we mwenyewe ulikuwa mchezaji wa kawaida tu, unawezaje kuchambua wenzako? We na Jemedari ni watu wa aina gani nyie?

Jana Duchu kaupiga mwingi sana tena amepangwa kwa nafasi ambayo sio yake ila aliimudu, Kiemba, hukuona jitihada za Duchu kushoto kweli? Au chuki zako kwa Simba ndio zinakufanya ulete dharau kwa wachezaji.

Huyu naye kumsikiliza is tantamount to wastage of time.
Ww tako kweli na itakua hauufahamu mpira ila unaendeshwa na ushabiki tu.

Kiemba alikua mchezaji mzuri enzi zake labda ungesema mchambuzi wa hovyo
 
Well said 👏
Binafsi, wakati Kiemba anacheza, nilikuwa napenda sana aina ya uchezaji wake. Na huku kwenye uchambuzi, kwa kweli, huwa haonyeshi kabisa anaegemea upande upi.
Na amekuwa msaada sana kwa wenzie, pindi uhitajipo ufafanuzi wa mtu ambaye alishawahi kuwa site. Kwangu, akikosekana kwenye kipindi, huwa naona kimepwaya sana, na huwa nakuwa sina hamu ya kuendelea kukusikiliza!
 
Amri Kiemba nani asiekujua wewe, nimekusikia ukisema uchezaji wa Duchu, Chilunda na Mwinuke haujakushawishi, we nani hadi ushawishike na kiwango chao, wakati unacheza soka ukiibuliwa na Kanali mstaafu Kipingu ulitegemewa kuwa mchezaji mzuri kumbe wap, ulipokuwa Yanga uliongoza kwa kutoa pasi kwa adui, uchezaji wako ulikuwa slow mno, yaani ulikuwa kiungo usievutia hata kidogo, ukaenda Simba nako ikawa hivo hivo, kila ukishika mpira ukitoa pasi ulikuwa unampa adui, ukachezea Kagera Sugar ulikuwa mwepesi kabisa, wasiokujua ndio wanaweza kuamini usemayo, lkn wengine tunaokujua na tuliokuona ukicheza mpira tunakuona famba tu.

Siku hizi unajifanya kuongea shombo hasa kwa Simba, mapenzi yako kwa Yanga yako dhahiri, mnafiki mkubwa wewe.

Eti uchezaji wa akina Duchu jana haujakushawishi, wewe ushawishike kwa uwezo gani uliokuwa nao dimbani, we mwenyewe ulikuwa mchezaji wa kawaida tu, unawezaje kuchambua wenzako? We na Jemedari ni watu wa aina gani nyie?

Jana Duchu kaupiga mwingi sana tena amepangwa kwa nafasi ambayo sio yake ila aliimudu, Kiemba, hukuona jitihada za Duchu kushoto kweli? Au chuki zako kwa Simba ndio zinakufanya ulete dharau kwa wachezaji.

Huyu naye kumsikiliza is tantamount to wastage of time.
Mimi huyu jamaa nilishamuona ni mpuuzi fulani hivi.
Linapokuja suala la Simba hata ifanyeje,lazima atakosoa.
Ni huyu aliwaita Al Ahly timu dhaifu kwa vile imeshindwa kumfunga Simba.
Ni huyu aliyeipa yanga nafasi kubwa ya kuchukua alama zote mbele ya Al Ahly.Na waliposhindwa,alisema Al Ahly ni timu namba moja Afrika na Yanga amepangwa na timu ngumu kuliko za makundi mengine.
Ni huyu aliyeipa yanga alama 6 kutoka kwa Medeama.
Huyu haamini Simba alishinda bali alibahatisha.Haamini JKU wanauwezo pia pamoja na kukamia anajua JKU ni timu dhaifu kwamba ingecheza na yanga,wangefungwa goli zaidi ya 5.
Hana lolote apuuzwe
 
Yani kwa sababu kasema usiyotaka wewe kuyasikia ndio mjinga na mshamba? Ulipaswa kuweka hoja zako pekee, mpingane kwa hoja na sio kumshambulia yeye binafsi.

Kwangu Kiemba ni mchambuzi bora kabisa mwenye utulivu, na anajua anachokiongea sababu amekifanya katika uwezo wa juu.

Kuwa na mchambuzi aliyecheza ligi kuu hapa nchini katika vilabu vikubwa ni tunu.
Kiemba is a very pragmatic pundit.
 
Constructive criticism ni muhimu kwa ustawi wa timu
 
Amri Kiemba nani asiekujua wewe, nimekusikia ukisema uchezaji wa Duchu, Chilunda na Mwinuke haujakushawishi, we nani hadi ushawishike na kiwango chao, wakati unacheza soka ukiibuliwa na Kanali mstaafu Kipingu ulitegemewa kuwa mchezaji mzuri kumbe wap, ulipokuwa Yanga uliongoza kwa kutoa pasi kwa adui, uchezaji wako ulikuwa slow mno, yaani ulikuwa kiungo usievutia hata kidogo, ukaenda Simba nako ikawa hivo hivo, kila ukishika mpira ukitoa pasi ulikuwa unampa adui, ukachezea Kagera Sugar ulikuwa mwepesi kabisa, wasiokujua ndio wanaweza kuamini usemayo, lkn wengine tunaokujua na tuliokuona ukicheza mpira tunakuona famba tu.

Siku hizi unajifanya kuongea shombo hasa kwa Simba, mapenzi yako kwa Yanga yako dhahiri, mnafiki mkubwa wewe.

Eti uchezaji wa akina Duchu jana haujakushawishi, wewe ushawishike kwa uwezo gani uliokuwa nao dimbani, we mwenyewe ulikuwa mchezaji wa kawaida tu, unawezaje kuchambua wenzako? We na Jemedari ni watu wa aina gani nyie?

Jana Duchu kaupiga mwingi sana tena amepangwa kwa nafasi ambayo sio yake ila aliimudu, Kiemba, hukuona jitihada za Duchu kushoto kweli? Au chuki zako kwa Simba ndio zinakufanya ulete dharau kwa wachezaji.

Huyu naye kumsikiliza is tantamount to wastage of time.
😆😆😆😆😆
 
Ficha ujinga mzee, nyie ndio mnafanya mashabiki wa simba tuonekane machizi.
Yeye kacheza huko we umecheza wapi.

Halafu mpira ni mchezo wa wazi, kidoogo nitamtetea chilunda ile nafasi aliyocheza ni mpya kabisaaa.

Nini kucheza, andre vila boas AVB hakuucheza kabisaaa, yaani hajacheza mpira, lakini kafundisha Chelsea, porto, Marseille, Tottenham.
Ni kweli hao wachezaji walicheza chini ya kiwango, klabu kubwa kama ya simba wachezaji wanahitajika kuonesha ubora wao. Mbona hajamsema che malone, hajamsema ngoma!? Acheni mapenzi ya mihemko kisa hii simba yangu, yanga yangu, mnaropokwa tu.
Achana na AVB, kuna Jose Mourinho amebeba UEFA kadhaa, EPL, Bundesliga, La Liga n.k na hajawahi kuugusa mpira.
 
Back
Top Bottom