Mliambiwa haiwahusuuu leo mnaidai hiyo tuzoMbona haijaandikwa Simba Fans?
Kifupi hiyo siyo tuzo ya Simba bali wapenzi wote wa soka waliohudhuria mechi ile ya Al Ahly na Simba wakiwemo mashabiki wa Yanga, Simba, Al Ahly na wapenzi wengine wote wa mpira!
Pelekeni TFF hiyo tuzo ni mali ya Taifa!
Kuna mahali hiyo Tuzo imeandikwa Simba Fans?Mliambiwa haiwahusuuu leo mnaidai hiyo tuzo
Duh!! Aisee.....Kuna mahali hiyo Tuzo imeandikwa Simba Fans?
Sasa wewe aliyesababisha hiyo game ichezwe hapa Tanzania ni timu gani kama sio SIMBA? Kama kuna mashabiki wengine waliokuja uwanjani siku hiyo tofauti na wale wa Simba ni viherehere vyao tu vya kutaka kuona kila tendon linalotendeka kwa jirani nyumba ya pili.Mbona haijaandikwa Simba Fans?
Kifupi hiyo siyo tuzo ya Simba bali wapenzi wote wa soka waliohudhuria mechi ile ya Al Ahly na Simba wakiwemo mashabiki wa Yanga, Simba, Al Ahly na wapenzi wengine wote wa mpira!
Pelekeni TFF hiyo tuzo ni mali ya Taifa!
Huo ndio ushirikina wenyewe! Tangu lini wapenzi wa soka wakazuiwa kuangalia mechi za timu ambazo hawazishabikii?Sasa wewe aliyesababisha hiyo game ichezwe hapa Tanzania ni timu gani kama sio SIMBA? Kama kuna mashabiki wengine waliokuja uwanjani siku hiyo tofauti na wale wa Simba ni viherehere vyao tu vya kutaka kuona kila tendon linalotendeka kwa jirani nyumba ya pili.
OkMchambuzi wa Clouds FM Amri Kiemba ameichambua tuzo waliyopata Simba SC siku ya jana , yeye kwa upande wake anaitazama kama tuzo ya watu wanaojaa uwanjani na sio mashabiki bora .
Upi mtazamo wako kwenye hili ____?
Chanzo Clouds Media
View: https://www.instagram.com/p/CzlOwmVKVCx/
AaahaaaMbona haijaandikwa Simba Fans?
Kifupi hiyo siyo tuzo ya Simba bali wapenzi wote wa soka waliohudhuria mechi ile ya Al Ahly na Simba wakiwemo mashabiki wa Yanga, Simba, Al Ahly na wapenzi wengine wote wa mpira!
Pelekeni TFF hiyo tuzo ni mali ya Taifa!
Kuna tabia naiona kama inazidi kukua nchini, ya mashabiki wa soka kuona wachambuzi wa soka kama mbadala wa kufikiria kwao, yaani wao hawawezi kuwaza au kuelewa jambo bila wachambuzi.Mchambuzi wa Clouds FM Amri Kiemba ameichambua tuzo waliyopata Simba SC siku ya jana , yeye kwa upande wake anaitazama kama tuzo ya watu wanaojaa uwanjani na sio mashabiki bora .
Upi mtazamo wako kwenye hili ____?
Chanzo Clouds Media
View: https://www.instagram.com/p/CzlOwmVKVCx/
Sasa kwanini kapewa mwenyekiti wa bodi ya Simba na sio karia?Mbona haijaandikwa Simba Fans?
Kifupi hiyo siyo tuzo ya Simba bali wapenzi wote wa soka waliohudhuria mechi ile ya Al Ahly na Simba wakiwemo mashabiki wa Yanga, Simba, Al Ahly na wapenzi wengine wote wa mpira!
Pelekeni TFF hiyo tuzo ni mali ya Taifa!
Kwani hiko kipengele kilikuwepo kabla ya mashindano ?Tuzo imeandikwaje, ama kipengele kilikuwa kinasema ni tuzo ya nini!?
Unajua nn wengi hizi kanuni au vipengele vya mashindano hatuvijui ama kwa kutofatilia au kwa wahusika kutozitoa watu wazijue kablaKuna tabia naiona kama inazidi kukua nchini, ya mashabiki wa soka kuona wachambuzi wa soka kama mbadala wa kufikiria kwao, yaani wao hawawezi kuwaza au kuelewa jambo bila wachambuzi.
Lakini, kuna baadhi ya vitu havihitaji wachambuzi ili kuelewa, huwa viko wazi. Mfano ni hiki alichosema Kiemba hapa, Hadi anashindwa kueleweka, anatenganisha kujaa uwanjani na kutoa sapoti.
Vipo vipengele kadhaa vya mashabiki bora, kimojawapo ni kujaa uwanjani. Ubora wa shabiki hauwezi kuonekana kwenye mchezo bila ya kuingia uwanjani. Kushangalia hadi kuvua nguo hilo ni jambo jingine.
Pia, sifa kuu ya mashabiki ni kujaa uwanjani kila timu yake inapocheza. Sasa unapokataa ubora wa mashabiki wa Simba, hata huko kwa kujaa uwanjani, inashangaza sana.
Ova
Ni kweli, ila kwa akili tu ya kawaida, shabiki bora anapatikanaje bila ya kwenda uwanjani kwa kiingilio kwa ajili ya mechi ya timu yake? Ubora unaanzia kwa kujaa uwanjani.Unajua nn wengi hizi kanuni au vipengele vya mashindano hatuvijui ama kwa kutofatilia au kwa wahusika kutozitoa watu wazijue kabla