Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sawa kabisaNi kweli, ila kwa akili tu ya kawaida, shabiki bora anapatikanaje bila ya kwenda uwanjani kwa kiingilio kwa ajili ya mechi ya timu yake? Ubora unaanzia kwa kujaa uwanjani.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisaNi kweli, ila kwa akili tu ya kawaida, shabiki bora anapatikanaje bila ya kwenda uwanjani kwa kiingilio kwa ajili ya mechi ya timu yake? Ubora unaanzia kwa kujaa uwanjani.
Ova
Ni mwakilishi wa Tanzania!Sasa kwanini kapewa mwenyekiti wa bodi ya Simba na sio karia?
Sijui kwa kweliKwani hiko kipengele kilikuwepo kabla ya mashindano ?
Kwaiyo toka lini try again ni mwalishi wa Tanzania?Ni mwakilishi wa Tanzania!
Acheni kukaza shingo, Kiemba yuko sahihi 🤣🤣Ni kweli, ila kwa akili tu ya kawaida, shabiki bora anapatikanaje bila ya kwenda uwanjani kwa kiingilio kwa ajili ya mechi ya timu yake? Ubora unaanzia kwa kujaa uwanjani.
Ova
Ndiye alikuwepo katika sherehe za kukabidhi tuzo, hivyo alituwakilisha!Kwaiyo toka lini try again ni mwalishi wa Tanzania?
Eti mashaibiki wa yanga🤣🤣 nyie utopolo mambo kam yale humuwez ,,,basi kilopo lopo wenu aliye kuwa anajipendekeza si angeitwa apewe kwa niaba yenu😜Mbona haijaandikwa Simba Fans?
Kifupi hiyo siyo tuzo ya Simba bali wapenzi wote wa soka waliohudhuria mechi ile ya Al Ahly na Simba wakiwemo mashabiki wa Yanga, Simba, Al Ahly na wapenzi wengine wote wa mpira!
Pelekeni TFF hiyo tuzo ni mali ya Taifa!
Si ndo Hapo kisa kuna mtu kaajiliwa media flan anaropoka tu basi kuna watu nae wanajifanya eti kumwamini ,,utazani wao hawana machoKuna tabia naiona kama inazidi kukua nchini, ya mashabiki wa soka kuona wachambuzi wa soka kama mbadala wa kufikiria kwao, yaani wao hawawezi kuwaza au kuelewa jambo bila wachambuzi.
Lakini, kuna baadhi ya vitu havihitaji wachambuzi ili kuelewa, huwa viko wazi. Mfano ni hiki alichosema Kiemba hapa, Hadi anashindwa kueleweka, anatenganisha kujaa uwanjani na kutoa sapoti.
Vipo vipengele kadhaa vya mashabiki bora, kimojawapo ni kujaa uwanjani. Ubora wa shabiki hauwezi kuonekana kwenye mchezo bila ya kuingia uwanjani. Kushangalia hadi kuvua nguo hilo ni jambo jingine.
Pia, sifa kuu ya mashabiki ni kujaa uwanjani kila timu yake inapocheza. Sasa unapokataa ubora wa mashabiki wa Simba, hata huko kwa kujaa uwanjani, inashangaza sana.
Ova
Amri Kiemba ni mchambuzi bora kabisa wa soka, anachambua kwa facts maana ameucheza anajua anaongea nini.Huyu Jamaa namuonaga hana Akili.. sijui hiyo kazi walimpaje
KIemba anajua kuchambua mechi tu ya soka, kwa sababu alikuwa mchezaji wa soka wa daraja la juu, pia ana mafunzo ya awali ya ukocha.Amri Kiemba ni mchambuzi bora kabisa wa soka, anachambua kwa facts maana ameucheza anajua anaongea nini.
Kama hujapenda alichokisema usimvue heshima yake Mkuu.
Wewe ni mkweli sana, ndio maana nakukunda b…KIemba anajua kuchambua mechi tu ya soka, kwa sababu alikuwa mchezaji wa soka wa daraja la juu, pia ana mafunzo ya awali ya ukocha.
Lakini, siyo kwamba anaweza kuchambua kila kitu kuhusu soka. Kwenye hili la tuzo ya mashabiki bora wa soka Afrika, Kiemba amekosea kwa uchambuzi wake.
Ova