Amri Kiemba: Simba Imepata Tuzo ya Kujaza Watu Uwanjani Sio Mashabiki Bora

Ni kweli, ila kwa akili tu ya kawaida, shabiki bora anapatikanaje bila ya kwenda uwanjani kwa kiingilio kwa ajili ya mechi ya timu yake? Ubora unaanzia kwa kujaa uwanjani.

Ova
Acheni kukaza shingo, Kiemba yuko sahihi 🤣🤣
 
Eti mashaibiki wa yanga🤣🤣 nyie utopolo mambo kam yale humuwez ,,,basi kilopo lopo wenu aliye kuwa anajipendekeza si angeitwa apewe kwa niaba yenu😜
 
Wachambuzi wa bongo akili ndo kitu hawakupewa,,mbon wydad alkuwa anajaza uwanja na hajapewa hyo tuzo na kacheza gem 3 nyumbani
 
Si ndo
Si ndo Hapo kisa kuna mtu kaajiliwa media flan anaropoka tu basi kuna watu nae wanajifanya eti kumwamini ,,utazani wao hawana macho
 
Vitu vingine kujadili na mtu tayari ana jibu lake ni kujichosha...
Muwaulize waliotoa hyo tuzo wawape sababu...
 
Huyu Jamaa namuonaga hana Akili.. sijui hiyo kazi walimpaje
 
Huyu Jamaa namuonaga hana Akili.. sijui hiyo kazi walimpaje
Amri Kiemba ni mchambuzi bora kabisa wa soka, anachambua kwa facts maana ameucheza anajua anaongea nini.

Kama hujapenda alichokisema usimvue heshima yake Mkuu.
 
Amri Kiemba ni mchambuzi bora kabisa wa soka, anachambua kwa facts maana ameucheza anajua anaongea nini.

Kama hujapenda alichokisema usimvue heshima yake Mkuu.
KIemba anajua kuchambua mechi tu ya soka, kwa sababu alikuwa mchezaji wa soka wa daraja la juu, pia ana mafunzo ya awali ya ukocha.

Lakini, siyo kwamba anaweza kuchambua kila kitu kuhusu soka. Kwenye hili la tuzo ya mashabiki bora wa soka Afrika, Kiemba amekosea kwa uchambuzi wake.

Ova
 
Wewe ni mkweli sana, ndio maana nakukunda b…

Hapo kwenye uchambuzi wa mechi uko sahihi kwa asilimia zote, huwa napenda sana kumsikiliza maana huwa anaongea madini matupu na kwa utulivu mkubwa sana.

Hayo mengine ni maoni jamani sio uchambuzi, acheni mihemuko. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…