Amri Kiemba: Simba SC haina Katiba ya kuruhusu imilikiwe na mtu mmoja, ndiyo wapo kwenye mchakato wa kutengeneza katiba

Hivi ina maana kuwa kundi hilo lilikuwa na timu vibonde? Kama una qualify na point chache na mchezo mkononi?
 
Ipo timu Imekwolifai kwa Points 8, na Pia ipo iliyokwolifai kwa Points 9...

Ajabu sasa aliyekwolifai kwa Points 8 ana ngenga huyooo...
CHA MSINGI HAPA NI HILI SWALA TIMU YENYE POINTS 9 NI MALI HALALI YA MUDDY GUY...
 
Ipo timu Imekwolifai kwa Points 8, na Pia ipo iliyokwolifai kwa Points 9...

Ajabu sasa aliyekwolifai kwa Points 8 ana ngenga huyooo...
Inategemea ume qualify kupitia group lenye uzito upi,haya makundi hayafanani ugumu!
 
Back
Top Bottom