rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kiemba kaongea ujinga, mkutano wa Simba kulikuwa na vurugu Ila bahasha za waandishi zilifanya Kama kuonekana Mambo shwari.
Serikali iliwaambia Simba warekebishe katiba Ila walienda kufanya kinyume na tayari taarifa zitafika.
Si muda mrefu mtamsikia mo akilalamika kukwama kwa mchakato Ila anayeukwamisha ni yeye kwa kuchonga watu wachache.