rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
UJINGA WA KIEMBA UPO WAPI.?!Kiemba kaongea ujinga, mkutano wa Simba kulikuwa na vurugu Ila bahasha za waandishi zilifanya Kama kuonekana Mambo shwari.
Serikali iliwaambia Simba warekebishe katiba Ila walienda kufanya kinyume na tayari taarifa zitafika.
Si muda mrefu mtamsikia mo akilalamika kukwama kwa mchakato Ila anayeukwamisha ni yeye kwa kuchonga watu wachache.
INAONEKANA MKUU KUNA MAMBO MENGI UNAYAJUA.Kiemba kaongea ujinga, mkutano wa Simba kulikuwa na vurugu Ila bahasha za waandishi zilifanya Kama kuonekana Mambo shwari.
Serikali iliwaambia Simba warekebishe katiba Ila walienda kufanya kinyume na tayari taarifa zitafika.
Si muda mrefu mtamsikia mo akilalamika kukwama kwa mchakato Ila anayeukwamisha ni yeye kwa kuchonga watu wachache.
Mbumbumbu huwa wanapenda kuatack watu bila ya hoja ndiyo shida Yao.Amri Kiemba yuko sahihi, ila watakuja watu hapa kumvaa yeye binafsi badala ya hoja zake.
Serikali ilishatoa utaratibu kuwa klabu zinazomilikiwa na wananchi zisiuze hisa zaidi ya asilimia 49 na pia hizo hisa zisimilikiwe na wawekezaji wasiopungua watatu je Hilo Simba limefanyika?UJINGA WA KIEMBA UPO WAPI.?!
MO kashasema ameinunua km kuna anaepinga aende akafungue kesi atapelekewa Document za mauzo,MIMI NA WEWE HATUJUI ILA MO AKIJITOKEZA NA DOCUMENTS ZAKE BASI TUTATHIBITISHA
Nani kaanza kukolifaiIpo timu Imekwolifai kwa Points 8, na Pia ipo iliyokwolifai kwa Points 9...
Ajabu sasa aliyekwolifai kwa Points 8 ana ngenga huyooo...
Tajiri wa Simba ni MO au ni Kiembe?Amri Kiemba yuko sahihi, ila watakuja watu hapa kumvaa yeye binafsi badala ya hoja zake.
UMEMSIKILIZA VIZURI KIEMBA AU UNABISHA TU?!Tajiri wa Simba ni MO au ni Kiembe?
Rais wa Heshima wa Simba ni MO au ni Kiembe?
Mwenye hisa nyingi Simba ni MO au ni Kiembe?
Anaetoa Mabillion Simba ni MO au ni Kiembe?
Boss wa Simba ni MO au Kiembe?
Akiweka hapa MO hapa Kiembe wakaambiwa waongee utamsikiliza MO au utamsikiliza Kiembe?
Katiba madudu gani? Watu wanaweka kibunda we unawaletea habari gani? Pesa alizomwaga Mo miaka 5 huyo Kiembe Mbuzi anaweza kumwaga? Mwambie aache jeuri Mo kasema ameinunua Simba clip IPOUMEMSIKILIZA VIZURI KIEMBA AU UNABISHA TU?!
MSIKILIZE TENA KISHA UJE KUJENGA HOJA
Unajua maana ya kununua timu mzee aifanye basi iwe Kama ya BakhresaKatiba madudu gani? Watu wanaweka kibunda we unawaletea habari gani? Pesa alizomwaga Mo miaka 5 huyo Kiembe Mbuzi anaweza kumwaga? Mwambie aache jeuri Mo kasema ameinunua Simba clip IPO
Ndio anawajengea na uwanja kule Goba soon Simba itakua na uwanja km Azam Complex Mbagara Chamazi,Unajua maana ya kununua timu mzee aifanye basi iwe Kama ya Bakhresa
KULIKUA NA HAJA GANI KUPITISHA BAKULI KWA MASHABIKI NA WAKATI TIMU YAKONdio anawajengea na uwanja kule Goba soon Simba itakua na uwanja km Azam Complex Mbagara Chamazi,
Chupi chupli anamwaga mabillion? Simba bila Mo inawezekana?KULIKUA NA HAJA GANI KUPITISHA BAKULI KWA MASHABIKI NA WAKATI TIMU YAKO
HUYO MO DEWJ NI CHUPLI CHUPLI TU.
masikini mna tabu kweli, tajiri namba moja Tanzania wewe unayetumia tecno unamwita chupli chupli?KULIKUA NA HAJA GANI KUPITISHA BAKULI KWA MASHABIKI NA WAKATI TIMU YAKO
HUYO MO DEWJ NI CHUPLI CHUPLI TU.
JIKITE KWENYE HOJA WEWEmasikini mna tabu kweli, tajiri namba moja Tanzania wewe unayetumia tecno unamwita chupli chupli?
hoja sio katiba hoja mo kainunuaAmri Kiemba katoa maoni yake baada ya Mo dewji kusema kuwa aliinunua Simba sc miaka mitano iliyopita.
Video hii hapa.
JIBU SWALI AME QUALIFY AU HAJA QUALIFY?!Ukizipanga zile Timu zote 8 zilizokwolifai kwa Points, Yanga anaburuza Mkia...!
Usibishe, we zipange uone...! Sasa kwa kuchonga Utopolo hawajambo.!
Sasa goli Linaamishwa kwamba eti Lile kundi ndio Gumu.!
CRB keshajichokea kitambo...! Mnyama angemburuza 7 kama Horoya iwapo wangekutana!