Amri Kiemba yuko underrated

Amri Kiemba yuko underrated

anajitahid sana lkn wachambuz tz saiv wamegeuza vipind vya michezo sehem ya kuchambana na umbea
 
Nyoko zako we mukuu 123, Geoge Ambangile hapa bongo hana wa kufananishwa.....
 
Kwa wachambuzi wa mpira wa league ya Bongo hakuna wa kufikiria uyu jamaa yupo vizuri sana hasa kwa kujenga hoja na kiufundi achana na hao wengine wenye blah blah nyingi kama wa kina ambangile.
sawa kiemba tumekusikia
 
Back
Top Bottom