Amri kumi kwa wapendao ofa

Mr.mzumbe kamwene.....
usichungulie tu kimya kimya na wewe toa au omba ofa.....
 
Last edited by a moderator:
nilitaka nishangae kuna watu wanatoa ofa huku halafu King'asti asitokee! hii isingekubalika kabisaaaaa
hii habari nahisi na Kongosho imempita
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, kwa kweli hii ilinipita

Ofa ngumu, hasa kwenye kucheka hata kama kichekesho hakichekeshi
umeona eeeh!
utafanyaje sasa na wewe unataka upelekwe juani?
itabidi kufanya hayo tu ili upate utakacho, lol!
 
Dah aise kuna watu wabishi hata waone utepe mwekundu watabisha waseme ni mweupe
copy kwa sweetlady na Nicas Mtei
@mamndenyi twende zetu bana kuna bardi sana kwa sasa tukapate kahawa pale Palace Hotel bana


Heheheheheehe...... Ningeshangaa kama ungetuachia huyo mpiga majungu mwenzio Mamndenyi.... Wasalimieni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…