Itakuwa alibeti huyo kochaKocha mpumbavu yule....ndio wanatuharibia mpira Tanzania, Sasa lile goli uzembe wa kipa? sawa hatukatai kumtoa kwakuwa ana mamlaka hayo....lakini kauli zake zikoje kwa mchezaji huyo? kaharibu hata morali ya wachezaji......
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu bàdae anahojiwa anasema beki zake na kipa hazikuwa vizuri nikamshaàngaa sana nikajiambia mwenyewe hapo hamna kocha bali nì takataka tuJinga sana yule kocha,Kipa kaokoa michomo mingi sana na angeanza yule anduje game ingeisha mapema tu,yaani Kocha nayeye anafanya usela wa ndondo wakati Kipa kapambana hadi kapasuka,ila Keeper naye akome kuikamia Yanga[emoji16]
Yule ni bonge la kipa yanga wakimsajili nìtafurahi sana kaokoa michomo mingi sana sio mēchi hii tu hata ile nyingine ya ligiinasemekana yanga walikuwa wanataka kumsajili huyo kipa huenda Amri said alihisi huyo kipa angewaachia yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ni Yanga lakini kwa kile kitendo haakikuwa cha uungwana kumbuka hata kama aliamini kipa amefanya makosa hakupaswa kumlaumu muda ule ukiangalia vizuri kipindi kipa anatoka Said alikuwa analalama akiwa amegeukia upande wa benchi la ufundi hakuthubutu hata kumpongeza kipa sasa jiulize Goal keeper aliokoa michomo mingapi na lile kosa lilianzia kwa beki mbona hakumtoa bekiGhafla golikipa wa Biashara anapata utetezi kutoka timu pinzani