Amri Said (Jamp Stam) ww ni Coach ila umekosa busara

Amri Said (Jamp Stam) ww ni Coach ila umekosa busara

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Tukio la kumtoa goalkeeper lilitokana na kuruhusu goal la pili la Yanga muda mfupi Jamp alimtoa goalkeeper huku akionekana akilalamika na hata hakumpa mkono wa kumpongeza hali ilioashiria kuwa yy alifanya makosa binafsi namlaumu sana Jamp hakufanya kitendo cha kiungwana hata kama aliona amefanya makosa asingeonyesha hali ya kumlaumu wakati ule Stam kwa stail hyo utahama timu nyingi sana
 
Kocha mpumbavu yule....ndio wanatuharibia mpira Tanzania, Sasa lile goli uzembe wa kipa? sawa hatukatai kumtoa kwakuwa ana mamlaka hayo....lakini kauli zake zikoje kwa mchezaji huyo? kaharibu hata morali ya wachezaji......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga sana yule kocha,Kipa kaokoa michomo mingi sana na angeanza yule anduje game ingeisha mapema tu,yaani Kocha nayeye anafanya usela wa ndondo wakati Kipa kapambana hadi kapasuka,ila Keeper naye akome kuikamia Yanga[emoji16]
Alafu bàdae anahojiwa anasema beki zake na kipa hazikuwa vizuri nikamshaàngaa sana nikajiambia mwenyewe hapo hamna kocha bali nì takataka tu
 
Amri Said kwa mwendo ule jiandae kushuka daraja huyo goalkeeper aliyeingia ukimtumia kwenye league wafa pia eti unasema Biashara kwanza!! Bado ndo imepanda daraja na jiandae kushuka ndiyo maana unahama timu kibao mara Lipuli mara Mbao ukatimuliwa jiandae kutimuliwa poa hapo biashara
 
Huyo anafaa kuwa msaidizi tu. Halafu bangi ya Musoma sio ya kitoto.
 
Ghafla golikipa wa Biashara anapata utetezi kutoka timu pinzani
Mkuu mimi ni Yanga lakini kwa kile kitendo haakikuwa cha uungwana kumbuka hata kama aliamini kipa amefanya makosa hakupaswa kumlaumu muda ule ukiangalia vizuri kipindi kipa anatoka Said alikuwa analalama akiwa amegeukia upande wa benchi la ufundi hakuthubutu hata kumpongeza kipa sasa jiulize Goal keeper aliokoa michomo mingapi na lile kosa lilianzia kwa beki mbona hakumtoa beki
 
Kocha snitch kinoma. Refa alipokuwa anakuja benchi lao ni kama anamsmitch jamaa apewe kadi nyekundu. Goli la pili sio uzembe wa kipa. Nakataa.
 
Kipa aliahidiwa atasajiliwa yanga,

akaanza kwa kuchomesha goli la pili,
halafu unataka kocha aendelee kuwa nae??
 
Huyo kocha naye sio muungwana hata kidogo, kitendo cha yeye kumzonga na kumbwatukia kipa wake hadharani kilisababisha mwamuzi kuchukua hatua ya kumpa kadi nyekundu kipa huku Amri Said akisisitiza atoke zake huko.
 
Yule golikipa alifanya kazi yake ipasavyo. Kocha alichemsha kumtoa bila sababu ya msingi. Mwisho wa yote, tunamshukuru sana kwa ule uamuzi wake tatanishi. Asingemtoa, na kwa kile kiwango alichokionesha, nina uhakika Yanga isingefuzu kwa kupata penati zote tano.
 
Back
Top Bottom