Amri za usaili jeshini kutumwa kwa email, Warusi wanalo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Email/barua pepe inatumwa na moja kwa moja unatakiwa ujiunge jeshini, na hakuna kutoroka nchi, baada ya kuishiwa wanajeshi, Putin ameamua kutafuta miili zaidi ya vijana kuipeleka ikazikwe Ukraine. Operesheni mwaka wa pili, pale Bakhmut pameshindikana balaa licha "mizoga" ya Warusi kujazana pale.

Sheria imepitishwa kwa kasi ya ajabu, yaani imekua sheria ndani ya siku mbili.
======================

Russian President Vladimir Putin on Friday signed a bill to create a digital draft system, greatly facilitating mobilizing Russians into the army, more than a year into the Kremlin's Ukraine offensive.

The law creates a digital conscription notice system that could bar men from leaving the country and make dodging the draft nearly impossible.

It has stirred fresh fears in Russia as Moscow's Ukraine campaign drags on for a second year. Russia rushed it through parliament just two days earlier this week.

Hivi Wakenya nao huwa unawapelekea huu umbea? Au ni kwa wabongo pekee?
 
Bakhmut Russia anaweza akaichukua ila kwa kumwaga damu yake kwa wingi mno. Na hiko ndicho anachokifanya.

Kadri anavyopeleka watu kufa ktk hii vita, ndivyo maadui wake wa ndani wanavyoongezeka.

At the end atakuja kuyatapika haya maeneo kwa kasi sana.

Tatizo la Urusi walilemazwa na mfumo wa ujamaa, ni wazungu wa hovyo sana na wataendelea kuuawa kama senene bila ya wao kupiga makelele ndani.
 
Mbona uwanja wa Vita tunaona miiki ya wa Ukraine tu wanakufa, nyie hapa JF mnasema warusi wanakufa. Hebu nipe hata Kijiji kimoja Cha warusi kimepigwa, halafu nipe hata mji mmoja wa tu wa Ukraine ukiwa na majengo yake Safi Kama awali
 
Mkuu ; umesema "Mbona uwanja wa Vita tunaona miili ya wa Ukraine tu wanakufa ....." Hapo sasa ndo na wewe ujiongeze - Itakuwa ni vita ya aina gani hiyo? Ukizingatia ukweli kwamba vita inapiganwa frontline ipo ndani ya nchi ya Ukraine. Ni nani huyo(source) anayeonesha miili ya waliokufa?😳
 
Hivi Wakenya nao huwa unawapelekea huu umbea? Au ni kwa wabongo pekee?
Umbeya uko wapi mbona jamaa anaandika ukweli mtupu lakini wanaochukia ni wale jihadists ambao wanaona Marekani anawazuia kufanya vitendo vyao vya kigaidi ili wafe wakastarehe na wale mabikra 72 wa kusadikika.

Mkenya tunakuomba uendelee kutuletea habari motomoto ili jihadists wajilipue vizuri.
 
.
20230412_213214.jpg
 
.View attachment 2588608
 
Mimi nampongeza jamaa yangu Vladmir Putin kwa kuweza kupambana na Marekani pamoja na vibaraka wake wa NATO kupitia mwamvuli wa yule mchekeshaji Zelenysky.

Haiwezekani nchi moja iweze kupambana na nchi zaidi ya 30 kwa mwaka mmoja na miezi kadhaa, pasipo kuteteleka!

We need more Putins so as to silence that evil Nation known as America.
 
ukweli mtupu lakini wanaochukia ni wale jihadists ambao wanaona Marekani anawazuia kufanya vitendo vyao vya kigaidi ili wafe wakastarehe na wale mabikra 72 wa kusadikika.
kwani urusi taifa la kiislam?? Au pro Russia humu waislam?? Wewe ndo unauchukia na kuingiza udini hata pasipo husika na mambo hayo,,, yani kupigana apigane mrusi na Ukraine kuchukia achukie muislam??
Wewe ndo unaumia kisa sababu mfuasi wa upinde (LGBT)
 
Back
Top Bottom