4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
uzuz wote unaandika huu unasahu Urusi alianza ivamia Ukraine kabla ya Zele kuwa rais wala Zele hakujua atakuwa rais sasa nyiny mazezeta mnaunga unga storiesMimi nampongeza jamaa yangu Vladmir Putin kwa kuweza kupambana na Marekani pamoja na vibaraka wake wa NATO kupitia mwamvuli wa yule mchekeshaji Zelenysky.
Haiwezekani nchi moja iweze kupambana na nchi zaidi ya 30 kwa mwaka mmoja na miezi kadhaa, pasipo kuteteleka!
We need more Putins so as to silence that evil Nation known as America.