uzuz wote unaandika huu unasahu Urusi alianza ivamia Ukraine kabla ya Zele kuwa rais wala Zele hakujua atakuwa rais sasa nyiny mazezeta mnaunga unga storiesMimi nampongeza jamaa yangu Vladmir Putin kwa kuweza kupambana na Marekani pamoja na vibaraka wake wa NATO kupitia mwamvuli wa yule mchekeshaji Zelenysky.
Haiwezekani nchi moja iweze kupambana na nchi zaidi ya 30 kwa mwaka mmoja na miezi kadhaa, pasipo kuteteleka!
We need more Putins so as to silence that evil Nation known as America.
kama imepita tangazo basi ni muhimu uwe activev, hujawai endeshwa kijeshi hayo majib ya sikusoma ujumbe wenu utayajibu ukiwa aheraNa hata kama kijana ana barua pepe, je, ni lazima asome hiyo barua pepe, na kama atasoma, je watawala wataona amesoma ila amepuuza kama ilivyo kwenye whatsapp tiki za bluu?
Ushoga duniani uliletwa na waarabu kule Sodoma na Gomorrah na ndio ukaenda ulaya baadaye tena waarabu wakauleta Afrika Mashariki wakati wanafanya biashara yao haramu ya utumwa.kwani urusi taifa la kiislam?? Au pro Russia humu waislam?? Wewe ndo unauchukia na kuingiza udini hata pasipo husika na mambo hayo,,, yani kupigana apigane mrusi na Ukraine kuchukia achukie muislam??
Wewe ndo unaumia kisa sababu mfuasi wa upinde (LGBT)
Wewe kiazi mviringo, huwezi kujibizana na mtu kistaarabu bila ya kutumia lugha ya matusi?uzuz wote unaandika huu unasahu Urusi alianza ivamia Ukraine kabla ya Zele kuwa rais wala Zele hakujua atakuwa rais sasa nyiny mazezeta mnaunga unga stories
Aisee! Hatari sana!kama imepita tangazo basi ni muhimu uwe activev, hujawai endeshwa kijeshi hayo majib ya sikusoma ujumbe wenu utayajibu ukiwa ahera