Amsha Ulimwengu wako 🪐 Nyota yako ndio inakupa nguvu. Jiulize, ni uhalisia gani unaochanua ndani yako?

Amsha Ulimwengu wako 🪐 Nyota yako ndio inakupa nguvu. Jiulize, ni uhalisia gani unaochanua ndani yako?

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,858
Reaction score
5,123
Maisha ni nguvu na mwenye nguvu ndio anakuwa mtawala na mtawala ndio anakuwa na mamlaka .

Sio kwamba watu awakuoni Wala awakuheshimu Bali kuna kitu ndani Yako ambacho Bado ujakiamsha kimelala na kadiri kinavyo lala heshima Yako pia inapungua kidogo kidogo .

Heshima sio kitu kinacho tafutwa ni kitu kinacho jengwa ,thamani sio kitu kinacho tafutwa ni kitu kinacho jengwa kutoka ndani kuja nnje .

Maisha Yako uwa yana anzia ndani Yako wewe na Kila kitu cha nnje kimetoka ndani ya uumbaji Fulani .

Uwe mtu mwenye nguvu ,uwe mtu mwenye mamlaka na uwe mtu wa thamani .

 
Back
Top Bottom