Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
 

Attachments

Jumuiya ya madola waishie uko uko, watuache na amani yetu waTanzania

Ni elimu au umbumbu? Hizi lugha jumuishi una uhakika gani ni sahihi?

Kumbuka ipo tofauti kubwa baina ya:

1. uCCM na uTanzania
2. uLb7 na uTanzania
3. uTaga na uTanzania
4. uWizi na uTanzania
5. uUwaji na uTanzania
6. Nk.

Tafadhali acha kuongelea na ambao hawajakutuma.
 
Naona watu wamemgomea brother kuandamana.
Mtaji wa mwanasiasa yoyote ni watu kitu ambacho Tundu hana. Angekua nao sasa hivi tungekua tunatuma maombi ya kuombea nchi[emoji848]

Anzeni upya kwa kutengeneza misingi mizuri kutoka chini sio unaamua ndani ya miezi 3 uwe Rais na utegemee sapoti kubwa kutoka kwa watu ambao haukua nao ukitegemea watu wa mitandao wanaokupamba na hujui Kama wapo kweli[emoji3064][emoji3064]
 
Nigeia iliwahi kuvuliwa uwanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Wewe mama ni mgogo nini?? Unapenda msaada sana. Hata wanao unawahimiza wawe tegemezi namna hiyo kwa kila rasilimali tulizonazo hatustahili kabisa kusaidiwa ni basi tumekua na tamaduni za kishenzi kila kitu kuombaomba wakati rasilimali tunazo emu wahimize vijana wafanye kazi tuondokane na hulka za kipumbavu za kuomba omba.
 
Nigeia iliwahi kuvuliwa uwanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu kaisababishia hasara kubwa sana.

CHADEMA itakumbwa na ukata mkubwa maana hakuna ruzuku.

Yani mtifuano utakaotokea hapo CHADEMA si wa kitoto.
 
Back
Top Bottom