Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Huyu ajax Amsterdam anatetea maslahi ya lissu?, Chadema?, Au Tanzania maana hasikiki akizungumzia inshu za maalim seif au ndo muda wa Kila mtu ale size yake
 
Upuuzi unao wewe kwa kudhani watanzania ni wajinga kama wewe, hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani

Watanzania sio wapuuzi ndio maana wamethamini kazi za awamu ya tano na kumwomba Magufuli na timu yake waendelee tena 5 years. Huyu Tundu Lissu ana kazi ngumu to show how he spent the millions of dollars received from the European thugs. Alijitahidi kurusha live campaign zake kwa you tube sasa anajitahidi maandamano nayo yarushwe live kuwaonyesha matumizi ya pesa alizopewa aichukue nchi ambayo hao thugs wangechuma wanachotaka. Ila Mungu hakupenda na hayo maandamano hayatakuwepo. Period.
 
Dawa yenu ni hii hapa, mkiendelea kupiga kelele ataongea na Mungu tena.

Naomba Tazama haka ka video. Wakati unatazama chukua na soda moja nakuja kulipa



Cha kwanza kabisa niseme kwamba mimi sio chadema, pili hata ife chadema kama tthere is the same regime which is ccm na washirika wake its still BS, sababu they have nothingg to offer, kama huamini ngoja uone miaka mitano hii yameiba yamejazana bungeni wakafanye kazi ili wawe na vyakusema next election sawa? Watamlaumu nan sababu wote ni wale wale ?

Tatu: Tunaongelea mustakabal wa Tanzania wewe umestik kwa chadema ? are you okay upstairs.

Nne ninamsikilizaje Bwana Gwajima wakati yeye mwenyewe mwongo mwongo ? A man of God hawez kuwa Gwajima
 
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
 

Attachments

  • 53840CA7-7448-44C5-8D61-14BF49F3848C.jpeg
    53840CA7-7448-44C5-8D61-14BF49F3848C.jpeg
    27 KB · Views: 3
Back
Top Bottom