Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Who are you? Only Ass can say that.
Thirty eight bullets to the innocent guy, 16 of them getting him, taking away his benefits to be treated and purging him from the parliamnt, what is that then, is it fare?? You are sadists, barbaric, brutal, cruel and all sorts of it
 
Wewe ongea tu kwasababu keyboard unayo, ila ya Libya na Iraq tunayaona kila siku kwenye TV, they are still unstable countries. Sasa hayo maelezo yako ni maelezo tu lakini uhalisia kaangalie kwenye Tv hasara wanazopata izo nchi kwa kufata mawazo kama yako.
Sisi Hatudanganyiki, pole.
 
Ccm regime will fall sooner than you can imagine.
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]mmeshindwa kila kitu hoja hadi mvuto. Nilishangaa sana mgombea anawauliza maswali wananchi badala ya wao ndio wa muulize
 
So what?,
Tutajuaje kama na wewe uko jikoni?matokeo yalishapikwa b4 uchaguzi,ndo maana mkasema jpm atamshinda lisu kwa zaidi ya kura 12,000,000. Na kweli jpm kapata hizo kura ,mlijuaje wakati uchaguzi ulikuwa bado kufanyika?.
Acha ujinga wewe. Mnavyosema atamshina lissu ina maana hakuna wengine walio shindwa.
Magu amewashinda wapinzani wote kwa idadi hiyo ya kura.
Acheni ubinafsi
 
Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Kwa hiyo nia yako ni kuvuliwa uanachama. Kama wewe ni mzalendo na unawapenda WaTZ kwa nini uwaingize wananchi kwenye matatizo kwa sababu ya mtu mmoja! Huo ndiyo uzalendo? Tuseme hypothetically, Magufuli hakuchaguliwa kihalali, wewe ukishtaki nchi na kuleta mateso kwa wananchi kutakusaidia nini? Lissu unajuwa hii ni mara yako ya mwisho kusimamishwa na CHADEMA kugombea urais, hii ina maana "you will never be TZ president" Next time Mbowe ndiyo muombaji. Wewe jitayarishe kurudi kwenye nchi yako ya kufikia Ubelgiji!
 
 
Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Natanguliza samahani kama nitakukwaza, una elimu ya kiasi gani au Darasa la 7, Form IV, form VI. College diploma, University degree, masters au prof?
 
Mnajitambua wapi zaidi ya ubinafsi?Uovu wote huu nyinyi kwenu sawa mradi tu mnafaidika na huu utawala.
 
Reactions: Ole
Uko sahihi,tatizo marufuku ya kisiasa tangu 2015 na kupigwa risasi kwa TL kumezorotesha harakati hizi
 

Walitakiwa kukubali maendeleo yote na kusema wao watafanya vizuri zaidi
 
Naona Wakurya hawakuhamasika sana kupiga kura juzi ni kidogo nusu ya wapiga kura hawakupiga [emoji28]
walipiga wa wingi sana tu, ila kilicho pigwa sio kilicho tangazwa ni vitu viwili tofauti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…