Amsterdam Marathon :New Course Record!

Kalenjins and Oromo as usual.
 
Kalenjins and Oromo as usual.
Nasikia Kijana wenu Alphonce Simbu ambaye huwa mnapiga piga mipicha naye na kumtumia kusifia chama kisha mnamtelekeza ana asili ya kioromo pia.
 
Nasikia Kijana wenu Alphonce Simbu ambaye huwa mnapiga piga mipicha naye na kumtumia kusifia chama kisha mnamtelekeka ana asili ya kioromo pia.

Alphonce Simbu ni Mnyaturu na Wanyaturu wana asili ya Ethiopia, siyo pure Bantus. Makabila yanayotoa wanariadha Tanzania ni Wanyaturu na Wairaqw ambao siyo Wabantu kiasili. Hayo makabila yamechanganyika kwa kiasi kikubwa na Wabantu ndiyo maana ufanisi wao wa kukimbia ukashuka.
 
Dah! Kwahivyo huwa mnapeleka wanariadha sita kwenye michuano ya riadha ya kimataifa. Ambayo wakenya kuwa wanawakilishwa na wanariadha zaidi ya 240, kila mara, kwasababu wabantu wamewachafulia DNA? Interesting, tell me more!
 
Dah! Kwahivyo huwa mnapeleka wanariadha sita kwenye michuano ya riadha ya kimataifa. Ambayo wakenya kuwa wanawakilishwa na wanariadha zaidi ya 240, kila mara, kwasababu wabantu wamewachafulia DNA? Interesting, tell me more!

Kila watu na vipawa vyao. Endurance ya kushinda marathon ni zaidi ya mazoezi, ni suala la vinasaba pia. Wabantu hawana vinasaba hivyo, wapo wachache wa kubahatisha.
Ukishaanza kuchanganya vinasaba ujue kuna vipawa vingi unapoteza.
Hayo makabila mawili, Wanyaturu na Wairaqw kama wasingechanganyikana sana na jamii nyingine hata Tanzania tungekuwa tunatamba kwenye marathon.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wabongo buana, napenda sana hizi tantarira zenu. Nitajie watz, wanyaturu na wairaqw, 20 ambao wameshinda medali yeyote ile, kutoka mwaka wa 1980 au hata 1970 ukipenda. Alafu mimi nitakutajia wabantu wa Kenya 30 ambao wameshinda medali au wanashikilia rekodi ya dunia kwenye riadha, kutoka mwaka wa 2000. I promise kwamba sitawataja Samuel Wanjiru The Great(R.I.P) na dada yetu mashuhuri Helen Obiri.
 
Kalenjins and Oromo as usual.
Each tribe in Kenya is active man. While the kalenjins are dominant in running other tribes come in handy to boost other disciplines like rugby, football, volleyball, boxing etc. Nyinyi na hizo makabila zote mpo mpo tuu. Tulia uone Harambee starlets wakitinga Olympics.
 
Kumbuka kwamba kwenye raga kina dada wa Kenya, Kenya Lionesses, walishafuzu na watakua kwenye Olympics kule Tokyo, Japan.
 
Kumbuka kwamba kwenye raga kina dada wa Kenya, Kenya Lionesses walishafuzu na watakua kwenye Olympics kule Tokyo, Japan.
Ukanda huu sijui wenzetu wataambia nini ulimwengu. Kwa jambo lolote ambalo linahusu juhudi na bidii ya mwanadamu tunawapiga chini kwa karibu kila kitu. Kuzaliwa Kenya ni baraka tele!..
 

Tunaongelea riadha hapa.
 
Tunaongelea riadha hapa.
Riadha ni mojawapo tuu ya spoti. Haja yangu ilikuwa ni kufutilia mbali fikira zako kuwa Kenya inatamba kwa juhudi za kabila,kundi la wachache ama watu binafsi. Wakenya kwa kawaida ni kujituma!.
 
Riadha ni mojawapo tuu ya spoti. Haja yangu ilikuwa ni kufutilia mbali fikira zako kuwa Kenya inatamba kwa juhudi za kabila,kundi la wachache ama watu binafsi. Wakenya kwa kawaida ni kujituma!.
Soka ni ya Waluo na Waluhya na Rugby ni ya Waluo. Taja mchezo hata mmoja ambao umetawaliwa na Wakikuyu zaidi ya wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…