Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I thought Watz hamna ukabila?
Nasikia Kijana wenu Alphonce Simbu ambaye huwa mnapiga piga mipicha naye na kumtumia kusifia chama kisha mnamtelekeza ana asili ya kioromo pia.Kalenjins and Oromo as usual.
Nasikia Kijana wenu Alphonce Simbu ambaye huwa mnapiga piga mipicha naye na kumtumia kusifia chama kisha mnamtelekeka ana asili ya kioromo pia.
Dah! Kwahivyo huwa mnapeleka wanariadha sita kwenye michuano ya riadha ya kimataifa. Ambayo wakenya kuwa wanawakilishwa na wanariadha zaidi ya 240, kila mara, kwasababu wabantu wamewachafulia DNA? Interesting, tell me more!Alphonce Simbu ni Mnyaturu na Wanyaturu wana asili ya Ethiopia, siyo pure Bantus. Makabila yanayotoa wanariadha Tanzania ni Wanyaturu na Wairaqw ambao siyo Wabantu kiasili. Hayo makabila yamechanganyika kwa kiasi kikubwa na Wabantu ndiyo maana ufanisi wao wa kukimbia ukashuka.
Dah! Kwahivyo huwa mnapeleka wanariadha sita kwenye michuano ya riadha ya kimataifa. Ambayo wakenya kuwa wanawakilishwa na wanariadha zaidi ya 240, kila mara, kwasababu wabantu wamewachafulia DNA? Interesting, tell me more!
[emoji23][emoji23][emoji23] Wabongo buana, napenda sana hizi tantarira zenu. Nitajie watz, wanyaturu na wairaqw, 20 ambao wameshinda medali yeyote ile, kutoka mwaka wa 1980 au hata 1970 ukipenda. Alafu mimi nitakutajia wabantu wa Kenya 30 ambao wameshinda medali au wanashikilia rekodi ya dunia kwenye riadha, kutoka mwaka wa 2000. I promise kwamba sitawataja Samuel Wanjiru The Great(R.I.P) na dada yetu mashuhuri Helen Obiri.Kila watu na vipawa vyao. Endurance ya kushinda marathon ni zaidi ya mazoezi, ni suala la vinasaba pia. Wabantu hawana vinasaba hivyo, wapo wachache wa kubahatisha.
Ukishaanza kuchanganya vinasaba ujue kuna vipawa vingi unapoteza.
Hayo makabila mawili, Wanyaturu na Wairaqw kama wasingechanganyikana sana na jamii nyingine hata Tanzania tungekuwa tunatamba kwenye marathon.
Each tribe in Kenya is active man. While the kalenjins are dominant in running other tribes come in handy to boost other disciplines like rugby, football, volleyball, boxing etc. Nyinyi na hizo makabila zote mpo mpo tuu. Tulia uone Harambee starlets wakitinga Olympics.Kalenjins and Oromo as usual.
Kumbuka kwamba kwenye raga kina dada wa Kenya, Kenya Lionesses, walishafuzu na watakua kwenye Olympics kule Tokyo, Japan.Each tribe in Kenya is active man. While the kalenjins are dominant in running other tribes come in handy to boost other disciplines like rugby, football, volleyball, boxing etc. Nyinyi na hizo makabila zote mpo mpo tuu. Tulia uone Harambee starlets wakitinga Olympics.
Ukanda huu sijui wenzetu wataambia nini ulimwengu. Kwa jambo lolote ambalo linahusu juhudi na bidii ya mwanadamu tunawapiga chini kwa karibu kila kitu. Kuzaliwa Kenya ni baraka tele!..Kumbuka kwamba kwenye raga kina dada wa Kenya, Kenya Lionesses walishafuzu na watakua kwenye Olympics kule Tokyo, Japan.![]()
Each tribe in Kenya is active man. While the kalenjins are dominant in running other tribes come in handy to boost other disciplines like rugby, football, volleyball, boxing etc. Nyinyi na hizo makabila zote mpo mpo tuu. Tulia uone Harambee starlets wakitinga Olympics.
Riadha ni mojawapo tuu ya spoti. Haja yangu ilikuwa ni kufutilia mbali fikira zako kuwa Kenya inatamba kwa juhudi za kabila,kundi la wachache ama watu binafsi. Wakenya kwa kawaida ni kujituma!.Tunaongelea riadha hapa.
Soka ni ya Waluo na Waluhya na Rugby ni ya Waluo. Taja mchezo hata mmoja ambao umetawaliwa na Wakikuyu zaidi ya wizi.Riadha ni mojawapo tuu ya spoti. Haja yangu ilikuwa ni kufutilia mbali fikira zako kuwa Kenya inatamba kwa juhudi za kabila,kundi la wachache ama watu binafsi. Wakenya kwa kawaida ni kujituma!.
Wakikuyu hukimbia na pia wako kwa soka. Hawajazubaa kihivyo!..Soka ni ya Waluo na Waluhya na Rugby ni ya Waluo. Taja mchezo hata mmoja ambao umetawaliwa na Wakikuyu zaidi ya wizi.
kilam ana ukabila sana na roho chafu. Tzedians are hypocritesWakikuyu hukimbia na pia wako kwa soka. Hawajazubaa kihivyo!..