Amsterdam ongea na Trump amkomboe Lissu, maana anaonewa hana kosa. Hakuna wa kumtetea

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Amsterdam ongea na Trump amkomboe Lissu, maana anaonewa hana kosa. Hakuna wa kumtetea kwani huyu mama akeshaamua kummalizia jela!

Sounds awkward, but anything is possible in this era!
1. Nani alitegemea Tanzania tungelipigana risasi majumbani ili fulani akae madarakani
2. Nani alitegemea Kikwete anaweza kuwa " gaidi" ,"mnyama" kiasi hiki kushiriki mauaji!
3. And therefore na hilo lawezekana
 
Nahisi ikitokea Lissu akafia jela....uenda ndio ikawa mwisho wa aliyemuweka jela..itatokea machafuko makali na gadhabu za wafuasi wake... Mungu amtilie wepesi Lissu atoke salama jela akiwa mzima wa afya, watangulie kufa watesi wake kwa amri ya M/Mungu inshallah.
 
Na wewe ni wale wale tu ndumilakuwili kama kina Mwandambo. Huyo Amsterdam ni nani na mara ya mwisho umemsikia lini?
 
Nahisi ikitokea Lissu akafia jela....uenda ndio ikawa mwisho wa aliyemuweka jela..itatokea machafuko makali na gadhabu za wafuasi wake... Mungu amtilie wepesi Lissu atoke salama jela akiwa mzima wa afya, watangulie kufa watesi wake kwa amri ya M/Mungu inshallah.
Atazikwa vizuri na tutasahau mapema mno tena serikali haitagharamia chochote
 
When the courts' vacation ends early next month is when the issue of Tundu Lissu's unlawful incarceration will be addressed, ostensibly, leading to his unconditional release.

The prolonged unlawful detention of the political prisoners like Lissu is what continues to polarize and alienate this regime with the international community and is what will continue to make the regime completely isolated internationally.
 
WHO ARE YOU? WHO ARE THEY
 
Amsterdam ongea na Trump amkomboe Lissu, maana anaonewa hana kosa. Hakuna wa kumtetea kwani huyu mama akeshaamua kummalizia jela!

Sounds awkward, but anything is possible in this era!
1. Nani alitegemea Tanzania tungelipigana risasi majumbani ili fulani akae madarakani
2. Nani alitegemea Kikwete anaweza kuwa " gaidi" ,"mnyama" kiasi hiki kushiriki mauaji!
3. And therefore na hilo lawezekana
Hamna wa kumtetea Lissu zaidibya watanzania wenyewe. Ni kujidanganya kutegemea ICC au Trump kumkomboa Lissu. Trump ni transactional. Hafanyi kitu ambacho hatafaidika nacho. ICC haina meno dhidi ya serikali iliyopo madarakani. Huu ni mzigo wa watanzania na sio mwingine.

Amandla...
 
Vurugu zote zilizotokea muasisi wake ni Jakaya Mrisho Kikwete ili kumuandalia Ridhiwan Kikwete njia ya kujakuwa Rais baadaye,hiki kizee mikosi sana.
FB_IMG_1765768878021.jpg
FB_IMG_1765650116396.jpg
 
Tanzania is not a monarchy where the retired leaders can pave the way for their children to assume power. This strategy is doomed to fail miserably.
 
Amsterdam ongea na Trump amkomboe Lissu, maana anaonewa hana kosa. Hakuna wa kumtetea kwani huyu mama akeshaamua kummalizia jela!

Sounds awkward, but anything is possible in this era!
1. Nani alitegemea Tanzania tungelipigana risasi majumbani ili fulani akae madarakani
2. Nani alitegemea Kikwete anaweza kuwa " gaidi" ,"mnyama" kiasi hiki kushiriki mauaji!
3. And therefore na hilo lawezekana
WaTanzania sisi ni watu wagumu sana kuelewa, Mh. Tundu Lissu alishasema yeye hataki huruma wala upendeleo bali haki ichukue mkondo wake. Alisisitiza yeye yupo salama na imara sana ila wasiwasi wake ni sisi tuliobaki huku mtaani tukizidi kuchunwa ngozi na CCM.

Nanukuu kauli yake " wewe si unajifanya mambo ya siasa hayakuhusu wala kupigania haki, basi subiri uchunwe ngozi na serikali ya ccm" na kweli watu wamechunwa ngozi kwelikweli...yaani risasi zinawafuata watu majumbani na kuwaua kama mende. Hadi sasa bado viongozi wote wapo ofisini wanazidi kuwananga waliowaua.
 
Back
Top Bottom