Na wewe ni wale wale tu ndumilakuwili kama kina Mwandambo. Huyo Amsterdam ni nani na mara ya mwisho umemsikia lini?Sounds awkward, but anything is possible in this era!
1. Nani alitegemea Tanzania tungelipigana risasi majumbani ili fulani akae madarakani
2. Nani alitegemea Kikwete anaweza kuwa " gaidi" ,"mnyama" kiasi hiki kushiriki mauaji!
3. And therefore na hilo lawezekana
Sawa, wewe ni ndumila kumojaNa wewe ni wale wale tu ndumilakuwili kama kina Mwandambo. Huyo Amsterdam ni nani na mara ya mwisho umemsikia lini?
Nimegee na mimi nijifunzeMh. Lissu amenifundisha jambo kubwa sana katika maisha yangu.
Atazikwa vizuri na tutasahau mapema mno tena serikali haitagharamia chochoteNahisi ikitokea Lissu akafia jela....uenda ndio ikawa mwisho wa aliyemuweka jela..itatokea machafuko makali na gadhabu za wafuasi wake... Mungu amtilie wepesi Lissu atoke salama jela akiwa mzima wa afya, watangulie kufa watesi wake kwa amri ya M/Mungu inshallah.
WHO ARE YOU? WHO ARE THEYWhen the courts' vacation ends early next month is when the issue of Tundu Lissu's unlawful incarceration will be addressed, ostensibly, leading to his unconditional release.
The prolonged unlawful detention of the political prisoners like Lissu is what continues to polarize and alienate this regime with the international community and is what will continue to make the regime completely isolated internationally.
Kwani Trump kweli akiamua kuingilia kati suala la Lissu Samia atamfanya nini. Tusiongee kama sisi ni wageni katika dunia hii.WHO ARE YOU? WHO ARE THEY
Hamna wa kumtetea Lissu zaidibya watanzania wenyewe. Ni kujidanganya kutegemea ICC au Trump kumkomboa Lissu. Trump ni transactional. Hafanyi kitu ambacho hatafaidika nacho. ICC haina meno dhidi ya serikali iliyopo madarakani. Huu ni mzigo wa watanzania na sio mwingine.Amsterdam ongea na Trump amkomboe Lissu, maana anaonewa hana kosa. Hakuna wa kumtetea kwani huyu mama akeshaamua kummalizia jela!
Sounds awkward, but anything is possible in this era!
1. Nani alitegemea Tanzania tungelipigana risasi majumbani ili fulani akae madarakani
2. Nani alitegemea Kikwete anaweza kuwa " gaidi" ,"mnyama" kiasi hiki kushiriki mauaji!
3. And therefore na hilo lawezekana
These are the same questions Maduro used to ask although right now he can never recite them any more as the die is cast.WHO ARE YOU? WHO ARE THEY
WaTanzania sisi ni watu wagumu sana kuelewa, Mh. Tundu Lissu alishasema yeye hataki huruma wala upendeleo bali haki ichukue mkondo wake. Alisisitiza yeye yupo salama na imara sana ila wasiwasi wake ni sisi tuliobaki huku mtaani tukizidi kuchunwa ngozi na CCM.Amsterdam ongea na Trump amkomboe Lissu, maana anaonewa hana kosa. Hakuna wa kumtetea kwani huyu mama akeshaamua kummalizia jela!
Sounds awkward, but anything is possible in this era!
1. Nani alitegemea Tanzania tungelipigana risasi majumbani ili fulani akae madarakani
2. Nani alitegemea Kikwete anaweza kuwa " gaidi" ,"mnyama" kiasi hiki kushiriki mauaji!
3. And therefore na hilo lawezekana