Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitoe ushamba ndg. yangu...hivi amucta ni chuo gani..??
*not an offence nor an insult
habari wadau.hivi inakuwaje kwa chuo cha amucta,wanafungua tar 16,sept,wakat tcu,wamefanya mabadiliko ya watu walobadili vyuo.hawaon kufungua tarehe hyo ni kuwanyima watu haki? au wamebadil tarehe ya kurpot? wenye tarifa zaid,mnijuze

Saut wanafungua trh 24 kama sijakosea...not approved