Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila wachezaji wa simba wanavyoongezeka,na kipigo kinaongezeka.Atajikuta anaongeza Simba wote hadi Kotei
Basi uwe AmunikeKila wachezaji wa simba wanavyoongezeka,na kipigo kinaongezeka.
Alitakiwa awapunguze
Basi uwe Amunike
Matokeo ya football sio cross multiplication event. Ni jinsi ulivyojiandaa na utakavyoperform siku ya mechi. Kwani Gadiel Michael na Kessy ni wachezaji wa Simba? Kwani Aggrey Moris na Mwantika ni Simba? Hiyo ndiyo beki iliyocheza juzi na Cape Verdeans walikuwa wanapita kwa hao hao hasa GadielNingewafyeekelea mbali wachezaji wote wa simba. Uganda alikuwepo mmoja tukatoa droo. Kawaongeza tuu tumepigwa 3.
Huoni tusipokuwa nao tunashinda!!?
Yeah kwa mechi ya home cos inatakiwa tushambulie sana Ajibu anajicho la pasi na angemwongeza angempa kitu cha tofautiHuyu kocha hamuoni Ajibu?
Uwezo wake ni mdogo sana siku hizi, limebaki jina tuangemuongeza Na Kichuya Akamtema Ulimwengu..
Ni kweli mkuu,kwa pasi zile za Ajibu Samata angefunga tuYeah kwa mechi ya home cos inatakiwa tushambulie sana Ajibu anajicho la pasi na angemwongeza angempa kitu cha tofauti
Ajibu ni liability kwenye team ni sawa na chicharito tu hakabi anasubilia apewe mpira apige pas na kuonyesha show off tu pumbav kabisa.Huyu kocha hamuoni Ajibu?