Amunike Amuongeza Erasto Nyoni timu ya Taifa

Nimeona matokeo ya Lesotho vs Uganda, 0_2. Uganda wamewachapa Lesotho. Ni matokeo mazuri kwetu,kwani ajili ya nafasi ya pili. Uganda wamebakiza point moja ili kufuzu.
 
Uganda akishinda nxt game dhidi ya cape Verde na sisi tukashida dhidi ya Lesotho tunakua tumefuzu pamoja siku moja tofauti ni mahali tu
 
Back
Top Bottom