Amunike Amuongeza Erasto Nyoni timu ya Taifa

Kocha angelitekwaa huko alikokuwa
 
Ningewafyeekelea mbali wachezaji wote wa simba. Uganda alikuwepo mmoja tukatoa droo. Kawaongeza tuu tumepigwa 3.
Huoni tusipokuwa nao tunashinda!!?
Matokeo ya football sio cross multiplication event. Ni jinsi ulivyojiandaa na utakavyoperform siku ya mechi. Kwani Gadiel Michael na Kessy ni wachezaji wa Simba? Kwani Aggrey Moris na Mwantika ni Simba? Hiyo ndiyo beki iliyocheza juzi na Cape Verdeans walikuwa wanapita kwa hao hao hasa Gadiel
 
Kichuya ameshuka sana kiwango msimu huu,kama nimuangaliaji wa mechi za bongo utakuwa umeliona hilo
 
Toa Ulimwengu,Morris, himid Mao

weka bench Samatta ,msuva


Ingiza Kichuya,Nyoni,Ajib,ambokile
 
Nilikuwa naangalia clips za Abdul Aziz Makame (Zanzibar heroes) walipocheza Challenge Kenya...nimebaki na butwaa..hivi kuna defensive midfielder kama huyu Bongo???kwa nini hawamuoni au mahaba Niue..huyu Msomali afukuzwe arudi kwao...Tujifunze kwa England walienda world cup na vijana wadogo wakafika nusu fainali...
NB: Yanga mchukueni Abdul Aziz Makame mkata umeme hatari
 
Huyu kocha hamuoni Ajibu?
Ajibu ni liability kwenye team ni sawa na chicharito tu hakabi anasubilia apewe mpira apige pas na kuonyesha show off tu pumbav kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…