Amunike katolewa kafara mchawi ni TFF yenyewe

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Kocha Emanuel Amunike katolewa kafara.Mchawi wa Taifa Stars ni Rais wa TFF na wasaidizi wake.Nilitarajia Rais wa TFF kama kaamua kumfukuza Kocha Amunike basi na yeye Rais wa TFF angejiuzulu. Watanzania tuwe na ujasiri wa Kuwajibika ili tuwapishe na wengine wafanye kazi tukubali kushindwa.
 
kuwajibika si silka miongoni mwa wabongo wengi waliopewa madaraka kutumikia umma.
 

Mimi sioni kosa la ccm stars; maana walichofanya ni kutimiza ilani ya ccm. Tangu lini ccm ikawa na malengo yenye mafanikio?
 
Hata tukimleta kocha wa Man City au Liverpool hatutoboi, shida ya soka letu ni hapo Tff na wizara yao.
 
Hata kama tff ni janga, ila Amunike alikuwa ni zaidi ya janga.
 
Hata kama tff ni janga, ila Amunike alikuwa ni zaidi ya janga.
Kama Amunike ni janga basi aliyemleta ni zaidi ya Janga walistahili wajiuzulu wawapishe watanzania wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…