mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Kocha Emanuel Amunike katolewa kafara.Mchawi wa Taifa Stars ni Rais wa TFF na wasaidizi wake.Nilitarajia Rais wa TFF kama kaamua kumfukuza Kocha Amunike basi na yeye Rais wa TFF angejiuzulu. Watanzania tuwe na ujasiri wa Kuwajibika ili tuwapishe na wengine wafanye kazi tukubali kushindwa.