Amunike ni dhaifu kusoma mchezo na kubadilika

CCM huwa wanawezaga magoli ya mkono tu
 
Yaani leo Amunike ndio anapewa lawama zote!

CCM sio wanadamu kabisa!

Uzuri tunaelewa kila mnachokifanya na ujinga ujinga wenu!
 
Hata angecheza nani jana tatizo la Tz sio nani anacheza ila stamina na fitness level yetu sio nzuri kila dakika ndio ilikuwa kama tumeisha na Kenya wanaanza ni wazi kabisa level ya fitness haikuwa sawa. Unaweza kuwa na wachezaji wa kawaida ila wakiwa fit na kufanya majukumu yao inatosha tumeona leo Algeria wachezaji wao sio kama Senegal ila wako fit kila mpira wapo na nidhamu. Fey alicheza mechi ya kwanza na alishindwa vibaya tuseme Senegal level nyingine lakini kama wewe mzuri huwezi kutolewa dakika ya 43 na angecheza leo halafu angeshindwa ndio angepoteza imani na ndoto zake.
 
Wacha kumzingizia Amunike nuksi ni kwa ccm kutaka kutekeleza ilani ya chama kupitia bashite hadi kwenye mpira timu ya taifa.
 
Kocha wa Kenya alisoma game mapema na akafanya sub dakika ya 32 huku watu wakishangaa how come anafanya sub "mapema" hivyo. Baada ya hapo game ilichange kabisa. Kocha wetu yeye alikuwa amekunja mikono tu. Sijui ndio yalikuwa maagizo ya Prince DAB?
under total control of bashite
 
Fei Toto ambaye mechi ya Kwanza alichemsha ndani ya dakika 10 tu

Mpira sio ujanjaujanja ni mipango na TZ hatuna mipango
Huyu hata challenge cup hawezi kuchukua. Simba wamemuacha Kotei sababu za kucheza kama Himid. Kiungo mkabaji ambaye hawezi kuchezesha timu inafanya timu ilemewe tu. Bora angeingia Fei Toto angeongeza pressure kwenye kiungo.
 
Licha ya Amunike kuwa c mzuri kwa kiwango cha soka cha kisasa, hata wachezaji wetu viwango vyao ni vya chini. Tunacheza bado mpira wa 1980s wa kufuata ulipo mpira badala ya kukaba na kufuata wapinzani. Kocha angesisitiza wachezaji wa "press" ..wasiwaachiwe wapinzani muda wa kutoa pasi...

Binafsi naona tatizo pia ni kuwa viongozi wetu c wapenzi sana wa soka na michezo kiujumla. Wanatokea tu wakati tuhafanya vizuri...
 
Amunike alichemsha kwenye selection ya timu! Akachemsha tena kwenye upangaji wa timu! Akachemsha kwenye game approach!techniques and substitution! Nani alimleta huyu plumber??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…