mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
MAUWAJI YA KUKUSUDIA YA YAMPELEKEA KUNYONGWA HADI KUFA
Taitus Malambwa Miaka 28 Mkazi wa kijiji cha Ntibili Mpimbwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa katavi amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Mke wake baada ya kukasiri kunyimwa na Mkewe tendo la ndoa.
--
Jukumu moja wapo la kuolewa/kuoa ni tendo la ndoa, jamani msinyimane hata maandiko matakatifu yameeleza wazi, mpaka muwe na makubaliano haswa katika kufunga na kuomba.
Nami mshale21 nawaasa wanandoa msinyimane pasipo makubaliano, na endapo mwezi wako ni mgonjwa, ama yuko katika siku zake (kwa upande wa wanawake) ili kupunguza maafa. Maana nguvu kazi inapotea sana kwa sababu ya migogoro ya kifamily!
PICHA: Taitus Malambwa