Amuua mke wake usiku baada ya kumnyima unyumba, naye ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Amuua mke wake usiku baada ya kumnyima unyumba, naye ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Kumbe mkinyimwa mnakuwa kama mbogo[emoji23]

Ndoa ngumu[emoji3064]

Hivyo ni lazima ukiombwa utoe?

Sasa kama mtu hajisikii[emoji23][emoji23][emoji23]

Au basi,niendelee kucheza na kuku hapa home[emoji1435]
 
Kwani ni lini mwanamke akiwa mwezini hairuhusiwa kufanyana?
 
Huko mpanda kuna watoto chini ya miaka 17 wanajiuza kwa buku wamama wa huko walikuwa wanahofia ndoa zao imekuwaje jamaa aue kisa utamu?
 
Usikute kuna lingine limejificha zaidi ya huko kunyimwa unyumba ambapo mtuhumiwa hajataka kuliweka wazi.
 
Mwanamke kwanini umenyimbe mbususu mmeo..?, Uliolewa kwanini sasa, nadhani hata mafunzo ya unyago na jando yawe ya lazima, turudi kwenye misingi ya mababu zetu,

Wanawake mnatusababisha tuwaletee magonjwa ndani, mnatusababisha tutembee na wadada wa kazi, wanawake wanawake natusababishia kufungwa wengine kunyongwa mpaka kufa kisa hizo mbunye,

Haki Mungu anajua maumivu wanayopitia wanaume kwenye hii dunia [emoji35][emoji35][emoji35]

Wanawake wazee watazidi kuwa wengi kwa mtindo huu
 
Kumbe mkinyimwa mnakuwa kama mbogo[emoji23]

Ndoa ngumu[emoji3064]

Hivyo ni lazima ukiombwa utoe?

Sasa kama mtu hajisikii[emoji23][emoji23][emoji23]

Au basi,niendelee kucheza na kuku hapa home[emoji1435]
Unadhani ni kumnyima tu utamu ndiyo iwe sababu?

"MDOMO" ndiyo sababu kuu haswa kwa akina Ke bila ya kuangalia Me yuko katika hali gani.

Ke Mpumbavu......."Sijisikii kuliwa maana nimechoka balaa, tena usijiloge ukanigusa maana hapatatosha"

Ke Mwema......." Baba flani/Kipenzi changu cha roho tafadhali ikikupendeza naomba tulale sasa hivi afu baadaye tutapoamka tu utajikadiria utavyoweza kujilia haki yako maana kiukweli leo siko sawa kihisia"

Japo sibariki huyo Me kuua Ke wake.

ZABURI 34:13.

Uuzuie ulimi wako na mabaya,
Na midomo yako na kusema hila.
 
Hawa watu nawashangaa sana yaani wanamaamuzi ya ajabu juu ya vitu vidogo, unatumia nguvu nyingi kusogeza kisoda. Kwanini asingemchombeza na kumshikashika mpaka alegee na ufanye yako au hizo nguvu za kuua ungetumia kumlazimisha nyie ni wanandoa wala isingekuwa big deal angenuna siku kadhaa kesi imeisha na ungempa onyo asirudie tena au utatafuta mchepuko au piga chini.

Hicho kitu hakimake sense bila shaka kutakuwa na kingine kikubwa na more critical zaidi ya hichi walichokileta Public.
Jamaa atatamkuta mkewe huko anamsubiri baada ya kunyongwa na watajadiri ni jinsi gani wamekufa kizembe huku malaika mtoa roho akicheka kizembe.

Strange, unusual and bizarre stuff. I mean WTH?
 
Aisee Askari jela wana kazi kubwa ya kupokea kila aina ya watu wanaoshindana kufanya ukatili wa kila namna hawa jamaa heshima kwao aisee .Kuna kipindi nilisikia Askari alishawahi kumwagiwa kinyesi na wafungwa hebu imagine 😆. Dah sipati picha Askari wanaofanya security katika selo za wafungwa waliohukumiwa kifo kwa kweli wanapitia mengi
 
Aloooo!! Unyumba tu ndio umuue mwenzio!! Kwani ukivumilia unakufa?
Wanaume mnajiendekezaga sana.
 
tujifunze wanaume kuwa na wake zaidi ya mmoja .hukosa huku unakwenda huku na huku nako kama hakuna nenda kwa mchepuko
 
Back
Top Bottom