‘Amuua’ mkewe kwa kupunjwa kitoweo

imesikitisha lakini imenichekesha saana

watu wengi wana matatizo ya akili,but hatujui namna ya kuwatambua na kuwawahisha
kwenye tiba,matokeo yake ndo haya
 
Duh!!

Yote hiyo inatokana na umasikini...WA KILA KITU.
 
Huyo lazima atakuwa chacha,mwita,marwa.
 
Duh!!

Yote hiyo inatokana na umasikini...WA KILA KITU.

sio umasikini
umasikini ni trigger factor tu,
hilo ni tatizo la mental fitness,
hata matajiri wanakuwa nalo
 
sio umasikiniumasikini ni trigger factor tu,hilo ni tatizo la mental fitness,hata matajiri wanakuwa nalo
Ndio maana nikasema ni umasikini wa kila kitu..kifedha..kifikra..kiakili n.k
 
Tumepokea Taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana.. Iwaje mtu umuue mwenzio tena kinyama na Shoka kisa umepunjwa kitoweo Jamani Tunaenda wapi?.. na kwa mtindo Huu tutafika? Basi Bofya hapa usome kisha tulizungumzie swala hili

Njaa mbaya sana

Kwani huyo jamaa anatofauti gani na anae tunyima umeme,dawa, barabara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…