Tumepokea Taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana.. Iwaje mtu umuue mwenzio tena kinyama na Shoka kisa umepunjwa kitoweo Jamani Tunaenda wapi?.. na kwa mtindo Huu tutafika? Basi Bofya hapa usome http://latestnewstz.blogspot.com/2011/07/amuua-mkewe-kwa-kupunjwa-kitoweo.htmlkisha tulizungumzie swala hili