AMUUA MKEWE KWA SHOKA CHANZO WIVU WA MAPENZI

AMUUA MKEWE KWA SHOKA CHANZO WIVU WA MAPENZI

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
3,705
Reaction score
5,540
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia Raphael Ulanga (66) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Clementina Luzuwa (57) kwa kumkata na shoka kichwani Oktoba 14, 2026, majira ya saa 4 usiku.

Polisi wamesema uchunguzi wa awali umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi.
IMG_4166.jpeg
 
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia Raphael Ulanga (66) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Clementina Luzuwa (57) kwa kumkata na shoka kichwani Oktoba 14, 2026, majira ya saa 4 usiku.

Polisi wamesema uchunguzi wa awali umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi.View attachment 3693030
Kifo NI Kifo Tyu ...Hio NI Sababu
 
Hii ilikwisharipotiwa mkuu Leo tuko na yule wa usiku Arusha
Tuendelee kuhabarisha uma kuwa kwa Sasa kwenye homicide tz inafukuzana na South Africa
Pengine ni baada ya matukio ya oktoba watu wanapitia trauma
 
Back
Top Bottom