dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
IPO ndoa bhnaMatatzo ya ndoa yakshaanza fka mikononi mwa watu wawe wa dini au serikali au ndugu na jamaa na marafki. Aisee hakuna ndoa tena hapo.
Bado hujasema🤣🤣🤣🤣🤣Ugomvi ukishafikia mpaka kwa viongozi wa serikali za mitaa, hakuna ndoa hapo.
Nakubaliana na wewe Kwa asilimia zote!!Matatzo ya ndoa yakshaanza fka mikononi mwa watu wawe wa dini au serikali au ndugu na jamaa na marafki. Aisee hakuna ndoa tena hapo.
Kwetu nimeua kwani mpaka nisirudi.Wewe ungefanya nini?
Geita wamelala sanaKigoma wamejibu
Nimecheka balaaAmuua mkewe, na yeye kujiua kisa mzozo mume kuuza vitu vya ndani
RASHIDI Mkayala mkazi wa Mtaa Gemu Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji amemuua mke wake Bernadeta Cosmas(33) kwa kumnyonga shingo hadi kufa chanzo kikielezwa kuwa ni mgogoro baina ya wanandoa hao. Muda mfupi baada ya Mkayala kutekeleza tukio la kumnyonga mkewe, naye alijinyonga kwa...www.jamiiforums.com
Janabi aachane na vyakula tushaelimika sasa ahamie na upande wa afya ya akili.
😁Kigoma wamejibu