Hapa ndo shida ya usomi wako-Proccessor 0% π€£ π€£ π€£ Ndo maana nchi hii maprofesa na madokta wanashindwa kuongoza sababu ya mitizamo na reasoning kama yako. Level za master's ni za mtu kuleta analysis na siyo porojo.Mimi huwa silei mtu asiyejielewa, ukinivunjia heshima na Mimi nakuvunjia heshima, kama unazungumzia public, Mimi ndio master wa hiyo public yenyewe,
Sasa ni mimi au wewe hujielewi? manake hata kuandika course yako kwa usahihi huwezi, Wewe umeshawahi wapi kuona course inaitwa "Masters in Macro Economics"?Mimi huwa silei mtu asiyejielewa, ukinivunjia heshima na Mimi nakuvunjia heshima, kama unazungumzia public, Mimi ndio master wa hiyo public yenyewe,
Mkuu,mbona sasa wewe umespecialize ?Au tafsiri yako ya kuspecialize ni nini?Tafsiri yako ya kuwa multipurpose ni nini?Any way.Achana na mambo ya specilization yalishapitwa na wakati saivi, inatakiwa uwe multipurpose, ukijifanya kuspecialize utaishia jobless.
Ndio tatizo la kujaza wajinga jamii forum, matokeo yake wanakosa kazi za kufanya wanaanza kujadili elimu za watu. Hii inaonyesha jinsi ulivyo kosa kazi za kufanya. Mtu anaye jielewa hawezi fanya kazi ya kujadili elimu za watu badala yake hujikita kwenye physical results. Shame on you.Hapa ndo shida ya usomi wako-Proccessor 0% π€£ π€£ π€£ Ndo maana nchi hii maprofesa na madokta wanashindwa kuongoza sababu ya mitizamo na reasoning kama yako. Level za master's ni za mtu kuleta analysis na siyo porojo.
Tatizo akili yako ndogo wala huwezi kunielewa nini namaanisha.Sasa ni mimi au wewe hujielewi? manake hata kuandika course yako kwa usahihi huwezi, Wewe umeshawahi wapi kuona course inaitwa "Masters in Macro Economics"?
Kushindwa kuelewa ujinga? π€£ π€£ You must be kidding.Tatizo akili yako ndogo wala huwezi kunielewa nini namaanisha.
Sasa Mkuu kama unaandika pumba unategemea physical results ziwe mahindi? Elimu ya Rais inahojiwa sembuse hiyo ya kwako ambayo huwezi kuitetea.Ndio tatizo la kujaza wajinga jamii forum, matokeo yake wanakosa kazi za kufanya wanaanza kujadili elimu za watu. Hii inaonyesha jinsi ulivyo kosa kazi za kufanya. Mtu anaye jielewa hawezi fanya kazi ya kujadili elimu za watu badala yake hujikita kwenye physical results. Shame on you.
Nimekupuuza,Sasa Mkuu kama unaandika pumba unategemea physical results ziwe mahindi? Elimu ya Rais inahojiwa sembuse hiyo ya kwako ambayo huwezi kuitetea.
Sasa ni mimi au wewe hujielewi? manake hata kuandika course yako kwa usahihi huwezi, Wewe umeshawahi wapi kuona course inaitwa "Masters in Macro Economics"?
Acha kukariri, unaweza Kudesign jina la programme vyovyote vile utakavyo, na majina ya programme yanatofautiana vyuo na vyuo. Hebu soma hili jina hapa katika hichi chuo. Kwa hiyo acha kukaririkariri.Sasa ni mimi au wewe hujielewi? manake hata kuandika course yako kwa usahihi huwezi, Wewe umeshawahi wapi kuona course inaitwa "Masters in Macro Economics"?
Mkuu ulishasema umenipuuza kumbe bado linakukereketa,Anyway-In short kama bado hujaelewa ninachokisema ni either hzo elimu huna au kama unazo hujui maana yake π€£ π€£ π€£Acha kukariri, unaweza Kudesign jina la programme vyovyote vile utakavyo, na majina ya programme yanatofautiana vyuo na vyuo. Hebu soma hili jina hapa katika hichi chuo. Kwa hiyo acha kukaririkariri.
View attachment 1727559
View attachment 1727570
View attachment 1727574
Alafu ile sio macroeconomics bali ni microeconomics. Wapo waliosomea macroeconomics ila mimi sipo huko.
Degree umeisomea shule alafu bado unaitafuta google tena kwenye chuo ambacho hujakisomea? what a shameMkuu ulishasema umenipuuza kumbe bado linakukereketa,Anyway-In short kama bado hujaelewa ninachokisema ni either hzo elimu huna au kama unazo hujui maana yake π€£ π€£ π€£
| CODE | TITLE | STUDY AS | CAREER | ATAR | YEARS | DELIVERY |
|---|---|---|---|---|---|---|
| Show all results... | ||||||
| NELENG | Master of Engineering in Electrical Engineering | Single | Postgraduate | - | 2 | In Person |
| NMECH | Master of Engineering in Mechatronics | Single | Postgraduate | - | 2 | In Person |
Tatizo unakurupuka, search jina la programme kama lilivyo andikwa kwenye ile image ya kwanza.
Programs and Courses
Search results for 'master in micro'
Find degrees, majors, minors, courses and specialisations in the current academic year and beyond.
ProgramsCoursesMajors, minors & specialisations
REFINE 200 RESULTS:
COMMENCEMENT YEAR:
202220212020201920182017201620152014
CAREER:
UndergraduatePostgraduateNon-AwardResearch
STUDY AS:
SingleFlexible DoubleVertical Double
COLLEGE:
All CollegesANU College of Arts and Social SciencesANU College of Asia and the PacificANU College of Business and EconomicsANU College of Engineering and Computer ScienceANU College of LawANU Joint Colleges of ScienceANU Wide
MODE OF DELIVERY:
All ModesIn PersonOnlineMulti-modal
CODE TITLE STUDY AS CAREER ATAR YEARS DELIVERY Show all results... NELENG Master of Engineering in Electrical Engineering Single Postgraduate - 2 In Person NMECH Master of Engineering in Mechatronics Single Postgraduate - 2 In Person
Yaani unaniletea command yako binafsi kwenye kwenye search ku justify ujinga π€£π€£π€£-Nionyeshe mahali hata kwenye hii Attachment kwenye hicho chuo chako cha google ulichokileta hapa kimeandikwa individual course title "Master's". Bado una safari ndefu ya kujifunza kabla ya kubishana bishana
Programs and Courses
Search results for 'master in micro'
Find degrees, majors, minors, courses and specialisations in the current academic year and beyond.
ProgramsCoursesMajors, minors & specialisations
REFINE 200 RESULTS:
COMMENCEMENT YEAR:
202220212020201920182017201620152014
CAREER:
UndergraduatePostgraduateNon-AwardResearch
STUDY AS:
SingleFlexible DoubleVertical Double
COLLEGE:
All CollegesANU College of Arts and Social SciencesANU College of Asia and the PacificANU College of Business and EconomicsANU College of Engineering and Computer ScienceANU College of LawANU Joint Colleges of ScienceANU Wide
MODE OF DELIVERY:
All ModesIn PersonOnlineMulti-modal
CODE TITLE STUDY AS CAREER ATAR YEARS DELIVERY Show all results... NELENG Master of Engineering in Electrical Engineering Single Postgraduate - 2 In Person NMECH Master of Engineering in Mechatronics Single Postgraduate - 2 In Person
Changamot yako unadhan kila mtu humu forum hajasoma na kwamba wewe unajiona umesoma kuliko wengine-That's a problem in itself.Tatizo unakurupuka, search jina la programme kama lilivyo andikwa kwenye ile image ya kwanza.
Siwezi kuendelea kubishana nawewe mkuu, tufanye umeshinda. ππππ ila huwezi kuubadilisha ukweli, maana ulishakuwa ukweli.Yaani unaniletea command yako binafsi kwenye kwenye search ku justify ujinga π€£π€£π€£-Nionyeshe mahali hata kwenye hii Attachment kwenye hicho chuo chako cha google ulichokileta hapa kimeandikwa individual course title "Master's". Bado una safari ndefu ya kujifunza kabla ya kubishana bishana
Haya ni ya kwako mkuu, na hivyo ndivyo akili yako ilipoishia kwenye kufikiri. πππππ. Fanya tu kutoa hilo povu linaloanza kukutoka.Changamot yako unadhan kila mtu humu forum hajasoma na kwamba wewe unajiona umesoma kuliko wengine-That's a problem in itself.
Hapana Elly-Wala sikuwa nabishana ili kushinda ila ubishan ulianza kuuchukulia mwanzon kama too personal π€£ π€£ .At the end huwa tunajifunza one way or another whether kwa marafiki au maadui au kwa yeyote yule.Siwezi kuendelea kubishana nawewe mkuu, tufanye umeshinda. ππππ ila huwezi kuubadilisha ukweli, maana ulishakuwa ukweli.