EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
- Thread starter
- #41
hilo ndio jambo la msingi mkuu,Hapana Elly-Wala sikuwa nabishana ili kushinda ila ubishan ulianza kuuchukulia mwanzon kama too personal 🤣 🤣 .At the end huwa tunajifunza one way or another whether kwa marafiki au maadui au kwa yeyote yule.