An Open Letter to President Dr. Samia Suluhu: Proposal for the Establishment of a High Education Graduates Bank (HEGB)

Its a good idea but what about collateral?
 
Ni wazo zuri ila social credibilty ya sisi watanzania ni ndogo sana. Just imagine watu waliwahi kukopeshwa kutoka BRANCH App, Mshiko App lakini kurejesha ikawa ni shida hadi ikafikia watu hawapokei simu. Kwa sasa tuanze au tuendelee kukopeshana kupitia vikundi vya marafiki tuliowahi kusoma / kufanya kazi pamoja. Wakati huku unaendelea kuongeza mtaji hatua kwa hatua.
 
Wazo zuri but kuna mafisiemu hayatalipenda
 
Ni wazo zuri sana ila tatizo wengi hawatarudisha mikopo hiyo hata kuwe na masharti ya kwenda jela

Tunajijua kuanzia juu hadi wa chini
Ninaowajua hawajanirudishia itakuwa za serikali?

Ni idea nzuri ila tuwaze njia nzuri zaidi za kuwasaidia
Labda Charities zianzishwe kwa wingi ingawa sio utamaduni wetu

Wenzetu matajiri wenye serikali imara na uchumi mkubwa ila wanategemea kuomba pia kwa wananchi ili maisha yawe mepesi
 
How feasible is this👉with funds generated from contributions of all high-education students, who will contribute a small amount every semester👈.
Wenyewe wanashindwa hata kujikimu kwa stipends wanazopata,sasa uwaambie tena wa-part with a nominal amount for the Bank!!Sijui bwana,ila as I have indicated,it is not feasible.
 
Great Idea but establishing an HEG Bank is a complex task that requires careful consideration of various factors. Addressing these challenges will be crucial to ensure the success of the HEG Bank and its ability to serve graduates effectively.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…