Chief Lugina
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 286
- 76
By definition(What is orthodontics? - Medical News Today).
Wapi hawa watu wanapatikana, kuna mtu ana child/ milk tooth na ana miaka 30 so Hospital gani au Dr gani special wa hizi mambo anawezakufanya hii kitu? Hospital nyingi wenyewe wanawahi kung'oa tu.
Mwenye anajua anapopatikana huyo Dr au Hospital ani-PM au kama kuna huyo Dr hapa JF pia ani-PM nimpe namba ya Mgonjwa wawasiliane...Thanks
cc. MziziMkavu
NOTE: Mgonjwa yupo tayari kuifuata huduma hiyo mahali popote TANZANIA