Ana 4 ya 26 amepata nafasi diploma in nursing ya udom

Ana 4 ya 26 amepata nafasi diploma in nursing ya udom

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Vigezo unatakiwa uwe na at least c tatu kwenye physics,biology,chemisty kachaguliwa kupitia njia fupi, itakua na madhara ganin kwake baadae
 
Kwa njia fupi eeh? Ngoja waje, mm naenda kuiwata TAKUKURU waje wasome huu uzi wakakague vyeti vyote vya nursing diplima udom
 
Vigezo unatakiwa uwe na at least c tatu kwenye physics,biology,chemisty kachaguliwa kupitia njia fupi, itakua na madhara ganin kwake baadae
utaua wagonjwa badae so nakushauri acha kabisa
 
Back
Top Bottom