Ana dalili zote za ujauzito lakini vipimo havionyeshi

Ana dalili zote za ujauzito lakini vipimo havionyeshi

Usipoteze hela kwenda utrasound nenda maabara waambie unataka kupima kama una ujauzito sio kuumiza akili kwa vitu vidogo kama hivyo.
 
"When you are looking for your period.. It's worse than looking for money"

Mpendwa Kanunue pregnancy test ujipime mwenyewe
jaman nimepima mimba kwa kutumia UPT lakin sijaona mimba na bado sijaona siku zangu,hiv hii inaweza kuwa nini?
 
"When you are looking for your period.. It's worse than looking for money"

Mpendwa Kanunue pregnancy test ujipime mwenyewe
jamani nimepima mimba sijaona,na siku zangu sijaziona bado hii inaweza kuwa nini jaman
 
Nenda Ultrasound ukaangalie, Sometimes kuna zile Ectopic pregnancy (Mimba nje ya mfuko wa Kizazi) ambapo kuonekana kwa UPT inaweza kuwa vigumu.
 
nimepitiliza siku 6 ,nanyonyesha cjui kama inaweza kuwa sababu na miezi 6 ya mwanzo sikuona bleedy mwez moja tu ndo niliona sahiv ndo hiv tena
Mpendwa em ngoja waje madaktari watakupa ushauri mzuri zaidi
 
hiyo condition tunaiita pseudopregnant ,na kupima mwapima ktk mazingira gani?ugonjwa wako ni siri kati ya dr nawewe maelezo inatakiwa utumie pm kama unaamini unaongea na daktari, usiexpose tatizo lako namna hiyo.
 
hunijui sikujui that's why here we dare to talk openly in jf, nikupm for what kama una msaada unasema hapa openly kila aone,kama huna jipya pita hiv!
 
Dr. Jf... Naomba unisaidie .. Hivi unaweza MPA mimba mwanamke mwenye HIV bila ww kuambukizwa ambae una? Naomba sana msaada wa swali langu
 
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25 nina mke wangu shida angu ni kwamba kama kuna mtaalamu humu ndani anisaidie maana mke wangu anaonyesha dalili zote za kuwa mja mzito kama kutopa siku zake kutapika matiti kuwa makubwa lakini kila tukipima kwa kutumia UPT hatuoni kitu.

Naombeni msaada kama kutakuwa na doctor yoyote humu ndani.

it happen sometime one can have all pregnant signs and yet on UPT we observe a negative result the case here is that you may be having pseudopregnant or you have hormonal imbalance that lead to failure of HCG to be adequately produced or you have hormonal imbalance where progesterone and estrogen are produced while you have no pregnant those progesterone and estrogen are responsible for development of those sign you mentioned on you post the fact that UPT showing negative result doesnt make you to believe that your not pregnant what you can do to make this clear you should seek further medically advice from a gynocologist or any other physician
the only way way to make it clear is ultrasound
 
Unajua dalili za ujauzito zipo nyingi na hizo uzionazo ni common ,yan ni kam dalili za malaria kila mtu ana zake

Kwani ana hasira sana ????
 
it happen sometime one can have all pregnant signs and yet on UPT we observe a negative result the case here is that you may be having pseudopregnant or you have hormonal imbalance that lead to failure of HCG to be adequately produced or you have hormonal imbalance where progesterone and estrogen are produced while you have no pregnant those progesterone and estrogen are responsible for development of those sign you mentioned on you post the fact that UPT showing negative result doesnt make you to believe that your not pregnant what you can do to make this clear you should seek further medically advice from a gynocologist or any other physician
the only way way to make it clear is ultrasound
Kaka emu wek asa hii kitu kwa kiswahili
 
Back
Top Bottom