Ana diploma ya journalism, anaomba ushauri kupita short cut!

Ana diploma ya journalism, anaomba ushauri kupita short cut!

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Wadau nina mdogo wangu ana diploma ya JOURNALISM sasa ameniambia anataka kupiga short cut aende ADVANCE DIPLOMA kisha apige POST GRADUATE je naomben tuangalie namna ya kumshaur huyu dogo
ushaur uambatane chuo anachoweza kusoma hio kozi uliyomshaur
 
Job kwanza mkuu,mambo mengine mdogomdogo!,Lkn km kwenu kupo fresh hapo asonge mbele na kitabu.
 
Kwani hizi advanced diploma bado zipo? Maana nakumbuka kuna kipindi walisema zitafutwa. Anyway ninavyoona mimi that is not a short cut, kwa sababu advanced diploma ni miaka 3 kama ilivyo degree na postgraduate ni 1 year ambapo pia kuna masters vile vile za 1 or 1.5 years. So sioni tofauti au shortcut hapo. Wengi walio soma advanced diploma enzi hizo walikuwa wanakimbila postgraduate diploma ili wajiwekee mazingira mazuri ya kukubalika kwenye kazi na pia kupata nafasi nzuri ya kupiga masters. Ngoja waje wajuzi wa mambo zaidi mkuu nadhani watatoa ushari wao, ila haya ni maono yangu
 
iyo ela yakusoma anunue video kamera atafute kazi
 
kwani hizi advanced diploma bado zipo? Maana nakumbuka kuna kipindi walisema zitafutwa. Anyway ninavyoona mimi that is not a short cut, kwa sababu advanced diploma ni miaka 3 kama ilivyo degree na postgraduate ni 1 year ambapo pia kuna masters vile vile za 1 or 1.5 years. So sioni tofauti au shortcut hapo. Wengi walio soma advanced diploma enzi hizo walikuwa wanakimbila postgraduate diploma ili wajiwekee mazingira mazuri ya kukubalika kwenye kazi na pia kupata nafasi nzuri ya kupiga masters. Ngoja waje wajuzi wa mambo zaidi mkuu nadhani watatoa ushari wao, ila haya ni maono yangu

unaposema advanced diploma miaka 3 unamaana unaunga diploma miaka 2+1 ili iwe advance diploma yaan unaunganisha au advance diploma inajitegemea miaka 3?
 
Back
Top Bottom