Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Unatumia linked in?Hii mbinu ina tatizo la Kupata appointment watakwambia tuta kujibu.. kwa sasa hatu itaji , ooh tuna mtu tayari,nilisha jaribu sana, blocking inakuwa reception maana wana mpigia kifua mtu wao hivyo hawataki umfikie MD au DG..
balaa lingine kupata cotact ..nyngi online hazifanyi kazi
Chief kwema, check inbox please.Unatumia linked in?
Ina mana outreach yako plan ni ya aina gani? Mana hata ukiacha barua reception ni ngum kufanyiwa kaz
Okay ππ
Nimevutiwa na unavyo elezea njia za kupata wateja .Unatumia linked in?
Ina mana outreach yako plan ni ya aina gani? Mana hata ukiacha barua reception ni ngum kufanyiwa kaz
Pambana kwanza upate kufaham nan ni target yako hapo. Na kila ukiomba tena cc kwa director, na reception ukimtumia mlengwa.Nimevutiwa na unavyo elezea njia za kupata wateja .
Embu nishtue mbinu kadhaa tafadhali..maana nilisha hangaika mpaka nika acha kabisa maana ni ngumu sana kupata access to decision maker of company husika..blockage ni ngingi..
Reception unawapigia. DG unatumia email. Hya mambo hayendi bila kuwa na plan inatofos.... Kutumia mikakati ya kupush mambo kwa njian zote.Pambana kwanza upate kufaham nan ni target yako hapo. Na kila ukiomba tena cc kwa director, na reception ukimtumia mlengwa.
Mitandao ya kijamii hasa linked in itumie vizur mna huko offiials wako active sana. Follow up yako inaenda kwa call na reminder za email. Lkini attach nyarka muhimu. Relation n marketing ni ngum kufanya maamuz n lazima awe na sabb konki ikitokea kaulizwa. So, try to reach out DG au MD hata kwa kuanzia mitandao y kijamii
Nikikuona hapa JamiiForums huwa ninajisikia kinyaa sana. Ulitaka kumuua kaka yangu kwa msongo wa mawazo. Wewe ni mtu wa hovyo sana.At last umefunguka kwamba huyo mtu aliekua anaomba ushauri ni wewe...π
Pole wewe na huyo kaka yako, kama hakufa basi mwambie anisamehe sana hata mimi nilitaka kufa pia kwa msongo wa mawazo sababu ya yule bichiNikikuona hapa JamiiForums huwa ninajisikia kinyaa sana. Ulitaka kumuua kaka yangu kwa msongo wa mawazo. Wewe ni mtu wa hovyo sana.
Omba sana. Omba sana. Ninasema tena omba sana. Wale jamaa walikutuma kuvuruga maisha ya kaka yangu kwa makusudi kabisa badala ya wewe kufanikiwa kujenga uaminifu wa uongo kwake.Pole wewe na huyo kaka yako, kama hakufa basi mwambie anisamehe sana hata mimi nilitaka kufa pia kwa msongo wa mawazo sababu ya yule bichi
Ohhhhh..... pole mkuu, kama ni hayo basi naona umenifananisha.Omba sana. Omba sana. Ninasema tena omba sana. Wale jamaa walikutuma kuvuruga maisha ya kaka yangu kwa makusudi kabisa badala ya wewe kufanikiwa kujenga uaminifu wa uongo kwake.
Ninajua IDs za kaka yangu zote unazifahamu. Ninajua. Ninajua. Ninajua. Hauwezi ukakubali kirahisi ila ninajua.Ohhhhh..... pole mkuu, kama ni hayo basi naona umenifananisha.
Minilidhani ni mambo ya wanawake ndio yalitu gonganisha na huyo unaemuita kakayako...π€
By the way, inaelekea una jambo kubwa sana moyoni limekukaba kwa maumivu badala ya huyo unaemuita kaka yako.
Anyways..... sijawahi kutumwa na yeyote nikamuumize mtu yeyote, na mimi sio mtu rahisi kihivyo.
Huntington knights eeweHello wapendwa..kuna mtu kasajili kila kitu akapata vibali vyote lakini hajui afanye biashara gani..
Yaan yeye alicho fanya nikupambana kusajili bila kujali anacho kieleza kule, kwake alikuwa ana tamaa sana ya kufungua ili kwanza amalize mchakato wa kupata Bank acc ya kampuni, Leseni, Efd machine na kafanya vyote sasa ana waza ..
Je ni coperate busines gani afanye ili awe supplier.. anapenda kuwa supplier mwanzo alitaman kuwa supplier wa Offices kwenye eneo la Stationaries and printers accessory.. na ndio alicho sujilia ..ila kwa kuwa amesajili kama office suppliers haja jifunga kwenye specific iko wazi.. kusupplie chochote.
Sasa anauliza wenye wazo.. la Nini kina kuwa supplies kwa coperate companies nyingi hapa mjini ili aanze maana anaogopa kulipia pango kwa office kabla haja jua afanye nipi na kina mzunguko gani.
Hapa kuna wazoefu... tusimnyime wazo la kitu kinacho toka haraka..
Mbona maelezo yanaonesha ni weweHello wapendwa..kuna mtu kasajili kila kitu akapata vibali vyote lakini hajui afanye biashara gani..
Yaan yeye alicho fanya nikupambana kusajili bila kujali anacho kieleza kule, kwake alikuwa ana tamaa sana ya kufungua ili kwanza amalize mchakato wa kupata Bank acc ya kampuni, Leseni, Efd machine na kafanya vyote sasa ana waza ..
Je ni coperate busines gani afanye ili awe supplier.. anapenda kuwa supplier mwanzo alitaman kuwa supplier wa Offices kwenye eneo la Stationaries and printers accessory.. na ndio alicho sujilia ..ila kwa kuwa amesajili kama office suppliers haja jifunga kwenye specific iko wazi.. kusupplie chochote.
Sasa anauliza wenye wazo.. la Nini kina kuwa supplies kwa coperate companies nyingi hapa mjini ili aanze maana anaogopa kulipia pango kwa office kabla haja jua afanye nipi na kina mzunguko gani.
Hapa kuna wazoefu... tusimnyime wazo la kitu kinacho toka haraka..
Kaka yangu alikataa mahusiano ya kimapenzi na Proscovia ndio wakakutuma wewe kumharibia financial status yake miaka kadhaa nyuma wakati kaka yangu alimpenda mchaga. Mapenzi hayalazimishwi waambie hao bosses wako.Ohhhhh..... pole mkuu, kama ni hayo basi naona umenifananisha.
Minilidhani ni mambo ya wanawake ndio yalitu gonganisha na huyo unaemuita kakayako...π€
By the way, inaelekea una jambo kubwa sana moyoni limekukaba kwa maumivu badala ya huyo unaemuita kaka yako.
Anyways..... sijawahi kutumwa na yeyote nikamuumize mtu yeyote, na mimi sio mtu rahisi kihivyo.
Loser kabisa huyu.Hello wapendwa..kuna mtu kasajili kila kitu akapata vibali vyote lakini hajui afanye biashara gani..
Yaan yeye alicho fanya nikupambana kusajili bila kujali anacho kieleza kule, kwake alikuwa ana tamaa sana ya kufungua ili kwanza amalize mchakato wa kupata Bank acc ya kampuni, Leseni, Efd machine na kafanya vyote sasa ana waza ..
Je ni coperate busines gani afanye ili awe supplier.. anapenda kuwa supplier mwanzo alitaman kuwa supplier wa Offices kwenye eneo la Stationaries and printers accessory.. na ndio alicho sujilia ..ila kwa kuwa amesajili kama office suppliers haja jifunga kwenye specific iko wazi.. kusupplie chochote.
Sasa anauliza wenye wazo.. la Nini kina kuwa supplies kwa coperate companies nyingi hapa mjini ili aanze maana anaogopa kulipia pango kwa office kabla haja jua afanye nipi na kina mzunguko gani.
Hapa kuna wazoefu... tusimnyime wazo la kitu kinacho toka haraka..
alaaaa kumbe uzi ni wako hongera sana haa nimekupata mkuuHii mbinu ina tatizo la Kupata appointment watakwambia tuta kujibu.. kwa sasa hatu itaji , ooh tuna mtu tayari,nilisha jaribu sana, blocking inakuwa reception maana wana mpigia kifua mtu wao hivyo hawataki umfikie MD au DG..
balaa lingine kupata cotact ..nyngi online hazifanyi kazi
heeeeee jamani nini tena mbona majanga kwenye thread ya watu poleniNikikuona hapa JamiiForums huwa ninajisikia kinyaa sana. Ulitaka kumuua kaka yangu kwa msongo wa mawazo. Wewe ni mtu wa hovyo sana.
Sahani iliyofunikwa, kilichomo kimesitirika...πNope.. ata mm nafanya kazi kwenye biashara yangu.. ila huyu kanifuata kuitaji ushauri nikaona niuleta hapa na mm nijifunze mengine
Kuna mtu wa hovyo alitumwa kumuua kaka yangu kwa msongo wa mawazo kwa kumpa ahadi hewa kisha baadae akamruka/akamkana.heeeeee jamani nini tena mbona majanga kwenye thread ya watu poleni