Ana Kampumi, EFD machine, Bank acc ya Company Ila aina ya corporate business Hajui afanye ipi?

Ana Kampumi, EFD machine, Bank acc ya Company Ila aina ya corporate business Hajui afanye ipi?

Hello wapendwa..kuna mtu kasajili kila kitu akapata vibali vyote lakini hajui afanye biashara gani..

Yaan yeye alicho fanya nikupambana kusajili bila kujali anacho kieleza kule, kwake alikuwa ana tamaa sana ya kufungua ili kwanza amalize mchakato wa kupata Bank acc ya kampuni, Leseni, Efd machine na kafanya vyote sasa ana waza ..

Je ni coperate busines gani afanye ili awe supplier.. anapenda kuwa supplier mwanzo alitaman kuwa supplier wa Offices kwenye eneo la Stationaries and printers accessory.. na ndio alicho sujilia ..ila kwa kuwa amesajili kama office suppliers haja jifunga kwenye specific iko wazi.. kusupplie chochote.


Sasa anauliza wenye wazo.. la Nini kina kuwa supplies kwa coperate companies nyingi hapa mjini ili aanze maana anaogopa kulipia pango kwa office kabla haja jua afanye nipi na kina mzunguko gani.

Hapa kuna wazoefu... tusimnyime wazo la kitu kinacho toka haraka..
Aliomba leseni ya kufanya biashara gani?
 
Kaka yangu alikataa mahusiano ya kimapenzi na Proscovia ndio wakakutuma wewe kumharibia financial status yake miaka kadhaa nyuma wakati kaka yangu alimpenda mchaga. Mapenzi hayalazimishwi waambie hao bosses wako.
Hili kabila langu, sijawahi kuona ustaarabu wenu....
Tena mnatabia ya kurithi kuanzia ugomvi, mke, zizi hadi watoto wa kusingiziwa...☹️
 
Back
Top Bottom