Ana Kikohozi kikavu kwa muda mrefu, nifanyeje?

IdekaIdeka

Member
Joined
Sep 3, 2016
Posts
22
Reaction score
6
Ndugu wanajamvi
Salaam

Kwa wataaramu Wa tiba
Mtoto wa ndugu yangu Amekuwa akikohoa kwa muda si chini ya miaka mitano sasa. Kikohozi hicho ni kikavu, tumejaribu hospital zetu huko wilayani bila mafanikio.

Tafadhali naomba ushauri wenu.
 
miaka 5????? ametumia dawa gani za hospitali?
 
Ndugu wanajamvi
Salaam

Kwa wataaramu Wa tiba
Mtoto wa ndugu yangu Amekuwa akikohoa kwa muda si chini ya miaka mitano sasa. Kikohozi hicho ni kikavu, tumejaribu hospital zetu huko wilayani bila mafanikio.

Tafadhali naomba ushauri wenu.
Nitafute mimi Nipate kumpa dawa zangu atapona hata kama ana maradhi ya Kifua kikuu atapona. Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Ndugu wanajamvi
Salaam

Kwa wataaramu Wa tiba
Mtoto wa ndugu yangu Amekuwa akikohoa kwa muda si chini ya miaka mitano sasa. Kikohozi hicho ni kikavu, tumejaribu hospital zetu huko wilayani bila mafanikio.

Tafadhali naomba ushauri wenu.
Umeishajaribu kukitibu kama allergy?
 
Wana JF Nakushukuruni sana kwa ushauri wenu.
Sasa nayafanyia kazi mawazo yenu.
Tuko pamoja
 
Asali Safi na tangawizi mbichi uchanganye arambe rambe kila wakati inshallah inshallah tatizo litaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…