ANA MBA anatafuta kazi

ANA MBA anatafuta kazi

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
2,413
Reaction score
992
ndugu zangu, nina binamu yangu amemaliza MBA hapo udsm anatafuta kazi. Ana BBA marketing na sasa ana MBA upande huo huo wa marketing. kwa sasa amejishikiza sehemu moja hivi ila anaomba tumsaidie kupata kazi yenye malipo mazuri kidogo.
nawasilisha.
 
Mwambie kuna wenzake kama laki tano wako street hawana job.
 
Duh, nilisoma vibaya kumbe nilidhani ile kitu ya kichwani kumbe ni hii kitu aaaahhhh
 
dah! unatakiwa uwe mwepesi kuelewa...otherwise mmmh, niliwaza huo mba ni kichwana au wapi...kumbe ni kwalifikesheni...M.B.A atapata tuu kazi asikate tamaa.
 
dah, watu wote humu wangekuwa kama wewe, naona maisha yangekuwa magumu zaidi...sasa hapa ni kumsaidia mtu hata kwa kumtia moyo au ni dharau na kukatishana tamaa?kuwa mstaarabu kaka rizki anagawa Mungu na kila mtu na bahati yake unaweza shangaa wako laki 5 lakini huyu fasta akapata ajira, so usikariri mambo kaka...kuwa na roho ya upendo na sio wivu kama huo uliouonesha hapa...pliz!
Mwambie kuna wenzake kama laki tano wako street hawana job.
 
pole kwa kuchelewa kuelewa, naona sasa umeipata vizuri. thanx!
dah! unatakiwa uwe mwepesi kuelewa...otherwise mmmh, niliwaza huo mba ni kichwana au wapi...kumbe ni kwalifikesheni...M.B.A atapata tuu kazi asikate tamaa.
 
ndugu zangu, nina binamu yangu amemaliza mba hapo udsm anatafuta kazi. Ana bba marketing na sasa ana mba upande huo huo wa marketing. Kwa sasa amejishikiza sehemu moja hivi ila anaomba tumsaidie kupata kazi yenye malipo mazuri kidogo.
Nawasilisha.

lemgo la kusoma sio kuanza kutembea mtaani kuuza utu wako, ni kuanza kutumia elimu yako kutengeneza nafasi za ajira, ili naye awe mwajiri. Sasa mba ya nini halafu analazimisha kulipwa vizuri?

Ninachokiona mimi, huyo hajamaliza shule yake kwa salama, bali amekariri
 
ubarikiwe kwa ushauri na nasaha zako!
lemgo la kusoma sio kuanza kutembea mtaani kuuza utu wako, ni kuanza kutumia elimu yako kutengeneza nafasi za ajira, ili naye awe mwajiri. Sasa mba ya nini halafu analazimisha kulipwa vizuri?

Ninachokiona mimi, huyo hajamaliza shule yake kwa salama, bali amekariri
 
Mwambie aandike barua 1000 za Maombi ya kazi na atume Office tofautitofauti, Hapo hata awe na gundu kiasi gani lazima apate job.
NB:- mwambie aache mbwembwe za kupanga mshahara na kutaka malipo makubwa.
 
Kusema ule ukweli,kwa sasa kama hujuani na mtu sehemu fulani basi kazi huna HATA UWE NA QUALIFICATIONS ZOTE!Tujifunze kujiajiri Watanzania;kuajiriwa ni utumwa tu!Tembelea jukwaa la Business,kuna mtu ametoa darasa zuri juu ya ufugaji wa kuku!"Juhudi na ubunifu wako,ndio utajiri wako"
 
asanteni jamani...inatosha nafunga rasmi thread hii!
 
Back
Top Bottom