am sorry ila mungu hukupa wa kufanana naye.Huyu ndiye mwanaume nimpendae, tatizo ana watoto watatu na hajaoa, na pia anasumbuliwa sana na wanawake wake wa zamani na wanawake wengi wanamtongoza kwenye simu na kila tutokapo out. Je nifanyeje ili atulie na awe wangu peke yangu? Na niwafanye nini wanaomtongoza usiku na mchana?
am sorry ila mungu hukupa wa kufanana naye.
i see hivi ana thumaku huyo ama urimbo?:lol::A S-coffee:
am sorry ila mungu hukupa wa kufanana naye.
am sorry ila mungu hukupa wa kufanana naye.