Ana miaka 30 ana watoto watatu nje ya ndoa

Ana miaka 30 ana watoto watatu nje ya ndoa

Naona usipoangalia utajiingiza kwenye foleni ya kuwa mmoja wa wake zake wengi. Unanikumbusha ndugu yangu aliyefikisha umri wa miaka sitini akiwa na watoto 23 aliowazaa na wanawake mbalimbali. Hujivuna kuwataja na kusema ana timu 2 za mpira wa miguu.
Family car happy lazima iwe Coaster
 
Dada umeuliza swali kwa comment ya 2011!

Alikwishatangulia mbele ya haki. Ila alipokuwepo utunzaji watoto ulikuwa mgogoro!
Mkuu....
Ebu elezea vizuri hapo kwenye mstari wa pili...[emoji848][emoji848]
 
Wanasema vizuri kula na wenzako, kama mwanaume anatongozwa hivyo basi huna haja ya kutafta namna ya kumnasa peke ako subiri miujiza
 
Huyu ndiye mwanaume nimpendae, tatizo ana watoto watatu na hajaoa, na pia anasumbuliwa sana na wanawake wake wa zamani na wanawake wengi wanamtongoza kwenye simu na kila tutokapo out.

Je, nifanyeje ili atulie na awe wangu peke yangu? Na niwafanye nini wanaomtongoza usiku na mchana?
Pole sana rafiki
 
Back
Top Bottom