Ana milioni 2 na ameomba ushauri wa biashara, wajuzi tumsaidie

Wakuu hivi kwa location ya Songea kwa mtaji huo anaweza akafanya bize gani? Mi niliwaza afungue salon lakini yeye hajui kunyoa. Ndo ilipo changamoto hapo.
Binafsi kwa uzoefu wangu nashauru hivii..
1. Mwenye majibu ya kujua ni biashara ipi afanye ni yeye mwenyewe.
2. Biashara inaenda na interest ya mtu anachopenda kufanya, kwasababu akifanya ambacho hakipendi hatafika mbali na biashara, itakua ni michosho na kulazimishana tu..
3. Kama amesoma shule.. na amefika level flan... atumie ujuz na uzoefu wake kufanya Biashara inaendana na taaluma yake.
Nawasilisha
 
Kuna wazo nmelipenda hapo ntalifanyia kazi
 
Hivi inakuaje kuaje mpka mtu unamiliki 2milion wakuu ..? Mbona mm sijawahi kushika hata za kuazimwa tu
Hahahaaa,usijali Hela hutembee zitakufikia tu Mungu ni wetu sotee. Swali lakooo la kibingwa sana hata mi nawazagaa.Anyway kwa namna Fulani inawezekana mfano:
1. Kapata mgao wa Urithii(Hana anachojua kwenye utafutaji).
2.Kahongwa na lishangazi/ sponsor ( anataka aanze maisha).
3.Uvivu wa kufikiri mpaka upate ramani ya wazo la kufanya (Hatari yake chap mtani unakwisha....AU kupata kujua vingi zaidi(vya kiambiwa unachanganya na vyako) mambo yanakwenda.
 
Mkuu hiyo namba 6 iko VYEMA labda mtaji mdogo
 
Mkuu hiyo namba 6 iko VYEMA labda mtaji mdogo

yah huyu nayemfahamu alianza na 200,000
kwasiku anauza mpka 30,000 minimum.

Faida 10,000 kwa mwezi jumla 300,000 na anapiga kazi siku zote bila kupumzika.

Ina maana kama ana million 2 akachukua kifremu na akaamua kuweka vinywaji na bia na vitoko kadhaaa pesa inazunguka.(Friji likitoka home litapunguza gharama)
 
Wakuu hivi kwa location ya Songea kwa mtaji huo anaweza akafanya bize gani? Mi niliwaza afungue salon lakini yeye hajui kunyoa. Ndo ilipo changamoto hapo.
Songea sehemu ganj mzee, za kuyumuka, mwambie afungue mpesa ,,songea saloon nyng na hazilipi kwa sasa, naongea kwa ushahidi,
 
🙏🙏 nmekuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…